Habari za leo wakuu.
Hivi wakuu Chumba kama kinachoonekana kwenye picha kinahitaji shilingi ngapi kukamilika.kiwanja kipo.
Karibuni kwa michango yenu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums...
Nataka kuhamia kwangu mwaka huu nimepiga nyumba plasta Bado kuweka vifaa vya umeme awamu ya pili, Bado draft na vingine vingi.. je nikitafuta hela ya madirisha yanaweza kuwekwa bila kufanya...
Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini...
Wakuu msaada naomba kujua ile sakafu ya chenga chenga inaitwaje? Na je inaweza ikakaa kwenye chuma? nina kibanda changu cha biashara nataka nikiwekee hiyo sakafu ya chenga chenga.
Ndugu zangu habari za majukumu
Naombeni mchanganuo wa Ujenzi wa uwanja wa mpira
1.Pitch iwe ile standard yani 105*68 na iwe nyasi asilia
2.Ukuta wa mzunguko kwanza ambao baadae utaruhusu ujengaji...
Hi guys,
Hello everyone,
I'm Ellyskywilly.
As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing.
So for that case, I'm...
Habarini wadau,
Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali...
Husika na mada tajwa.wataaram naomba raman ya bati simple isiwe na magabions gabions mwisho ndio yanavuja vuja naijua mgongo wa tembo ila kama kuna aina nyingine naomba.
Sent using Jamii Forums...
Ijumaa Kareem! Niwasalimu katika mchakato wa katiba mpya! Katiba ya wananchi sio ya chama chakavu..!!!
Mwenyezi Mungu ametufanyia wepesi! InshaAllah..![emoji1545]hatuna cha kumlipa..! Kuna...
Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?
Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta...
Habar wakuu,
Tafadhar naomba kufahamishwa kuwa ni maeneo gan mazur kwa Ujenz kwa mtu mwenye kipato cha kati na aina ya tofar zinazotumika katika ujenz na wakaz wa mji huo.
Maeneo mazur kwa...
Nilipata kuongea na mafundi juu ya paa la contemporary, waliniambia ili kupata paa imara ni lazima msingi uwe imara. Unaweka zege juu na unamalizia na lami kama ukipenda. Kuna wanaojenga...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
wapimaji wa viwanja walipita mahali fulani wakafanya upimaji kwa kuelekezwa na mtu mwingine kuhusu mipaka ya uwanja ilivyokaa,
lakini walielekezwa kimakosa...
Habari Wana jamii forum,
Nimeikuta sehem hii ramani nikaipenda nikaona si vibaya kushare mawazo nanyi kuhusu vitu vifuatavyo;
1. Idadi ya tofali kuanzia msingi mpaka boma
2. Idadi ya trip za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.