Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Wakuu naulizia hatua za kufuata kununua kiwanja kwa mtu. Naomba ushauri nisije kuingizwa mjini Nawasilisha wakuu
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, Je, milioni tatu naweza kupata kibanda cha kuishi nimechoka kupanga, huwa nalipa 100k kwa mwezi naona kama nikipata kibanda cha kuishi nitapunguza matumizi?
6 Reactions
81 Replies
16K Views
Poleni na majukumu wana JF ni imani yangu Mungu anaendelea kutupigania. Naomba kujua umuhimu wa Valley kwenye Nyumba, pia nitashukuru kama naweza kupata picha ya Nyumba yenye Valley. Nawatakia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaume akifikisha miaka 45 hadi 50 hapo kibongo bongo walio wengi ndo angalau huwa yuko vizur kimaisha na hii ni kutokana na changamoto za maisha tunazokutana nazo kwenye maisha katika kujipanga...
11 Reactions
142 Replies
10K Views
Mafundi na wazoefu wa ujenzi, Naomba mnisaidie mwongozo juu ya kutumia milunda kwenye suala zima la kupaua, Ubora au Udhaifu wake upoje ikilinganshwa na kutumia mbao?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kujua hili la material ya bati. Nataka mabati kutoka china ila swala la material namba hizi zinanichanganya. Kwa wataalam namba hipi ndo materila nzuri. DX51D, DX52D, DX53D, DX54D, DX56D...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu.... Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake Fundi wa...
2 Reactions
25 Replies
13K Views
Wadau naomben ushauri kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko? Msaada tafadhali
8 Reactions
149 Replies
20K Views
Wakuu, Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa. Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza...
4 Reactions
44 Replies
9K Views
Tafadhali nisaidieni wadau kujua gundi nzuri na imara kwa bati linalovuja.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni muda muafaka sasa tuhamie kwenye ujenzi huu 👇
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa, Nipo katika ile hatua ya kuumiza kichwa, Fundi ameniandikia vifaa vinavyohitajika, Naomba mnijuze bei ya items namba 1 hadi 8, hasa ndugu zangu wafanya biashara wa hardware Dar.
2 Reactions
55 Replies
22K Views
Sababu kubwa ni mjengaji kumudu gharama. Kwanza fundi akiiona picha na ramani anakutajia gharama yake. Gharama anakutajia kwakuwa anaijua kazi na anaujua ugumu wake. Unaamua kumtafuta fundi...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Habari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!! Mkoa wa Dar es salaam Vigezo! Gorofa 3 au 2 au 1 vyumba 25 na kuendelea...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za pilikapilika za majukumu ya siku ya leo. Naamini siku inaenda vyema kwako. Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba MSAADA wa kujua lilipo duka zuri la vifaa vya UMEME (TRONIC)...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom