Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo. Karibuni.... Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za jioni waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nnashida na dawa ya kukausha zege haraka. Mwenye kujua inapopatikana gharama zake na muda inayotumia hadi zege kukauka.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu habari za jioni? Kwa anaefahamu naomba kwa anaefahamu bei za vifaa vya maji vifuatavyo kwa mkoa wa Tanga anifahamishe na sehemu duka lilipo. 1. IPS PIPE 1/2" 2. IPS ELBOW 1/2" 3. IPS TEE...
1 Reactions
16 Replies
14K Views
Kujenga kanyumba ka aina hii Maeneo ya Mwanza, kahama au Bukoba inaweza gharimu kiasi gani cha pesa. Asante
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana. Leo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo. Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko. Naomba mwenye uzoefu...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kupata uzoefu wenu Kwa wale waliowekeza au kufuatilia uwekezaji wa apartments huko Dubai na miji mingine, naomba kujua hii biashara inaendeshwaje hasa ukiwa mbali na namna ya kuwekeza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama nataka kujenga nyumba ya vyumba3 sebre, dining na jiko inaweza kunigarimu Bei gan had kufikia kupiga Bati Iwe ni maeneo ya mjini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni wanaforum. Naomba msaada wa anaejua suluhisho la mchwa nyumba Iko kwenye kichanga lakini mchwa ni wengi Sana ndani kumepigwa tairizi lakini bado tafadhari ndugu zangu anaejua dawa...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mafundi wa Tanzania bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa mafundi wa nje . Mashundi wetu wanapenda sana short cut na kona … ukiwapa mwanya kidogo tu wanakuibia vifaa vya ujenzi ...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu wakuu.. Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo. Tuje kwenye mada sasa... Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba msaada Wana JM kuhusu tofauti ya white wall put na white siment matumizi yake yanaendana katika ufanyaji kazi au kipi ni kizuri zaidi katika finishing ya juma. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kumekuwa na ujenzi wa aina tofauti tofauti hasa ujenzi wa ( shimo ) katika ujenzi ambao nimejenga kama jinsi unavyoonekana hapo kwenye picha na video. Itanichukua muda kuchimba shimo lingine, hapo...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
11 Reactions
64 Replies
10K Views
Habari JF, Sambamba na kichwa cha habari hapo juu, nina boma la chumba kimoja, nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka, so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
VACANCY Amref Health Africa –Tanzania is an independent, non-profit, non-governmental organization (NGO) whose mission is “to improve the health of people by partnering with and empowering...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Habari wataalamu? Naomba kuuliza kama ninaweza kuezeka kwa zege kibanda ambacho kimejengwa kama ifuatavyo: 1. Ukubwa wa kibanda ni futi 9 kwa10 . 2. Kimejengwa kwa tofali za bloko nchi 5 kwa 9...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari naomba tujuzane kuhusu gharama za material zinazotumika kutengeneza gril kama hizi.
1 Reactions
30 Replies
13K Views
Back
Top Bottom