Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Makisio ya gharama ya haka kakibanda jaman.Hapo kuna style mbili tofaut za hyo floor plan zote tujue makisio yake
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau Naulizia wauzaji wa hizi Bomba kwa ajili ya kuweka kwenye kingo za ngazi( staircase) au kwenye balcony Nimetafuta nimekosa hivyo naomba msaada kujua naweza kuzipata wapi
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari, Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka. Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau kwema? been a while nimekua msomaji tu humu ila leo nimeona nitafute msaada wa kiuzoefu huko nyumbani Currently naishi mbali na Tanzania na nilikua najaribu kufanya overview ya bei...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Naomba kujua idadi ya bati na mbao kwa hii nyumba. Ukubwa 30×36.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kinachofurahisha mijini ni kuwa nyumba za nyasi na matope zinapotea au kumalizika kabisa. Kila mjengaji hujitahidi kutumia matofali ya saruji, madirisha yanayoingiza hewa. Tatizo ni kuwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tanzania tunakwama wapi hapa ni Barcelona,Spain
3 Reactions
3 Replies
975 Views
Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kuelimishwa hapa, ni nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu? Nimepata utata Sana, baada ya kulinganisha nyumba mbili ambazo zimejengwa kwa kozi 11 hadi lenta lakini moja inaonekana ndefu na...
2 Reactions
51 Replies
15K Views
Habari Wana ujenzi! Natumaini mko salama. Nimekuwa nikipita katika baadhi ya mikoa kadhaa ambayo Ina Miamba mikubwa ya Mawe mfano Mwanza, singida, Dodoma etc na kushudia wakiitumia Miamba hio...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nitumie dawa gani kuwaua au ku-repel mijusi? I'm serious on this guys. sipendi kuiona mijusi kwenye kibanda changu. Mwenye uzoefu tafadhari.
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Nimeanzisha ujenzi vyumba vya wapangaj nyumba ipo L, fundi wangu kanishaur kama nondo ni bei nitumie wire kufunga lenta ya msingi ...je kwa watalaam ninnaweza tumia wire kwa msingi alafu lenta ya...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Siku ya jana hiki kitu kili-pop out kwenye akili yangu nikaona ni zooooooom kwa ukaribu zaidi kudhibitisha ukweli wa hiki kitu. Nili-google picha za nyumba za makazi za wenzetu kwa kweli sikuona...
13 Reactions
79 Replies
9K Views
Habari ya mihangaiko ya hapa na pale wakuu.. poleni na kadha ya kupanda bei kwa vitu nchini unaochangiwa na kupanda kwa bei za mafuta.. niende moja kwa moja kwenye point naomba msaada wa kujuaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wana jamii. Nahitaji MWALIMU WA PLUMBING kwa mda wa ziada. Mimi nipo Dar es Salaam kwa mawasiliano 0757950516 namba ipo whatsapp
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wa JF Poleni na majukumu Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom