Maeneo niliyopo hakuna umeme, ila maji ya kisima yapo.
Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP.
Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?
Na bei ya generator...
Nipo naandika project ya smart city.
For a Better Urban Future. The way we can overcome the challenges of urban house through join forces btn squatting community, government policies and other...
Habari za mda huu wana jf kuna matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane ....... hakuna dalali wala mtu kati kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0742612561...
Habari . Nimepata kuona kwenye nyumba za matajiri wachache wanafunga European Aluminum very high quality na ngumu zinakuwa na rangi ya blue. Ulitoa Atlantic metal Ltd ni nani mwingine anatengeneza...
Wanaojua taratibu za kufanya kujua kingingi cha nyumba yako ili utata uishe na jirani. Ndugu yangu amenunua nyumba Ilala mtaa wa Moshi. Hizi nyumba zilijengwa enzi za Nyerere sasa anataka kujua na...
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa namna ninavyoweza kuifanya baadhi ya milango ya ndani (ya mbao) isifunguke bali iwe ya kuslide tu mfano wa geti.
YouTube nikakuta kwa wenzetu wanaitumia sana kwani...
Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au...
Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za...
Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi...
Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu.
Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na...
Salaam wadau wa ujenzi,
Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm.
Of course najua lililopo Victoria,
Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti...
Salaam wana JF,
Nimetumia plywood kama kuta za banda la kuhifadhia bidhaa zisipigwe na jua. Kunyeshewa mvua za wiki mbili tuu imebadilika rangi na kuwa nyeusu. Nikashauriwa, nikapaka rangi ya...
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi...
Habari wakuu,
Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa...
Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.