Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Za weekend wandugu? Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya...
5 Reactions
12 Replies
511 Views
kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee.. maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako...
2 Reactions
14 Replies
634 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Kuna Swali Watu Wanajiulizaga Mtaani Watu Waliosoma Civil Engineering.. Ni Wahandisi Ndio Lakini Wanajihusisha Na Nini Haswa.? Civil Engineering Ni Uhandisi Unaojihusisha na Kudesign, Kujenga na...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
🚧 UNAHITAJI HUDUMA ZA UJENZI NA FINISHING? TUKO HAPA KUKUSAIDIA! 🏠✨ Habari wakuu, Tunatoa huduma bora na za uhakika katika sekta ya ujenzi (construction) na ukamilishaji wa majengo (finishing...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
1 Reactions
14 Replies
729 Views
Ndugu Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo Mimi nilikuwa na waza...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo. Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
1 Reactions
5 Replies
368 Views
Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni. Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka...
10 Reactions
65 Replies
1K Views
Wale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu? NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali: 🔹 Mashule (madarasa, korido, vyoo) 🔹 Parking (maeneo ya magari) 🔹 Underground floors...
0 Reactions
4 Replies
364 Views
Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu 1. Mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary mwaka ni...
1 Reactions
3 Replies
716 Views
Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
5 Reactions
21 Replies
717 Views
habari unapotaka kufanya urembo wowote ndani ya nyumba, huwa tunatumia cement, usitumie wall put kufanyia urembo . urembo wa nyumba huwa tunatumia cement na finishing yake ndio tunatumia wall put...
3 Reactions
6 Replies
411 Views
2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design 🏡 Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! 💬 Chat nasi...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA! Unatafuta vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani au viwandani? Sisi tupo kwa ajili yako 💯 📍 Kariakoo 🚚 Delivery mikoa yote Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
347 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
natafuta kifaa cha kujanga hatch kama hii ya mwezi mchanga
4 Reactions
12 Replies
503 Views
Back
Top Bottom