Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo...
ama kubali makosa yako haikuwa hivi kabla ya Oct 29,2025. Usijidanganye !
Kubalini makosa na jirudini mambo hayataweza kurudi powa. Tujiulize ni pesa ngapi tayari tumeshapoteza, miradi kila siku...
E. UMAUTI
Siku ya tarehe 29. 10. 2025 Elisha Mwakafwaga akiwa njiani kuelekea nyumbani kwa dada yake alipatwa na mkasa wa kupigwa risasi, eneo la tumbo kisha akawahishwa hospitalini. Alifanyiwa...
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya...
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
"Na sasa inageuza kwamba shughuli inakuwa uchaguzi badala ya shughuli zile ambazo zinafanywa na uongozi unaopatikana. Na kwa sababu hiyo, pana mantiki ya kuliangalia upya..."
"Tuendelee kusimamia...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amesema;
"Wameanza kwenye mikoa mingine. Lazima tuwe macho kama vijana wa CCM. Kwa maana ya...
YALIYONIFURASHA KATIKA AZIMIO LA EU.
Bunge la Umoja wa Ulaya tarehe 26 Novemba 2025 lilitoa azimio lao juu ya Tanzania kufuatia machafuko ya 29/10/2025 na hali ya Haki na demokrasia nchini kwa...
Nchi imeoza hii hakuna cha TISS, JWTZ hawa nao hamna kitu ni vile walijificha kwenye kulinda mipaka na hawachangamani na siasa ila hamna kitu nao walewale, Police hawa ndio hopeless kabisaaa kila...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo...
Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imewashtaki Nsengiyumva Lenga Lutendeli na Advela Dickson Bishikira kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram...
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara...
"Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 ufutwe na kutangazwa uchaguzi mpya ili kuwapa nafasi wananchi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya Rais, wa bunge na madiwani ili kurejesha umoja na...
"CCM inabidi wajitafakari. Kwa mtazamo wangu sioni kama wana future nzuri kisiasa. Kwa sababu CCM wameacha kufanya siasa, wameacha dola iwafanyie siasa. CCM haiwezi kushinda uchaguzi tena kwa...
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema;
"Mvutano kati ya Msajili na Chadema haujanza leo. Lakini tukiwa wakweli ambao, hatupepesi macho, na tunalipenda taifa kuliko...
Mbunge wa Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo amewashukuru Wananchi wa Jimbo hilo kwa imani waliyompa kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la upigaji kura na kupelekea CCM kutangazwa mshindi...
Kila machafuko huwa ni fursa kwa watu. Hilo la mikono ya watu nitalisema siku nyingine, ila kuhusu maandamano na vurugu niseme tu kwamba nimeyashuhudia yote tokea yanaanza siku za kwanza...
"Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.