Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao...
9 Reactions
90 Replies
4K Views
Wakuu, CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya...
0 Reactions
9 Replies
808 Views
Wakuu, Kuna kitu, hii siyo bure! Hiki kilichotembea iwe ni kifinyo au kibunda itakuwa ni cha maana! ===== Viongozi wa dini na siasa Mkoani Tanga wametoa pongezi na shukrani kwa juhudi za...
0 Reactions
12 Replies
925 Views
Fuatilia mubashara mjadala wa Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaofanywa na JamiiForums kwa Kushirikiana na Start TV. https://www.youtube.com/live/2DskPzSytWY?si=9Ykw6hjtEkxbl7MR...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu, Hii kali! Kuna uchawa afu kuna hii! ==== Maombi ya viongozi wa dini mkoani Njombe yaliyofanywa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Hapo Novemba 27 Mwaka huu yametajwa kusaidia zoezi...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Mliweswee! Mianyeyeee! Nawasalimu! Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika...
2 Reactions
19 Replies
996 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe leo Novemba 27, 2024 amepiga kura katika Kituo cha Mfoni Kitongoji cha Muro Kijiji cha Nshara kilichopo Kata...
1 Reactions
1 Replies
493 Views
Binadamu wote wasio na Ubongo wa Wanyama na wale wenye Utashi wa Mtu wanacho kitu kinachowatofautisha na Wanyama wa Porini au wale wa kufugwa kama Paka, Mbwa, mbuzi,Ngombe nk Watu hawa wanayo...
18 Reactions
119 Replies
4K Views
"Umati huu wa watu ambao mmekusanyika leo(Novemba 29, 2024) uwanja huu wa Kawawa ni ishara dhahiri ya kwamba sisi ndio washindi katika uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa Vijiji na...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini kimeamua kufungua kesi mahakamani kwenda kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa, Wasimamizi Wasaidizi pamoja na walioshinda na kuapishwa katika...
3 Reactions
13 Replies
986 Views
Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo. Vilevile, CCM kimeibuka...
4 Reactions
78 Replies
3K Views
Video Courtesy: SK Media Online TV ➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini...
0 Reactions
4 Replies
597 Views
Wakuu, Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔 ==== Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea...
3 Reactions
11 Replies
714 Views
Taarifa iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Pwani hii hapa Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu, Amina.
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda...
1 Reactions
97 Replies
3K Views
Wakuu, Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema? HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi...
0 Reactions
4 Replies
702 Views
Wakuu, Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa...
0 Reactions
8 Replies
658 Views
Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
0 Reactions
6 Replies
687 Views
Back
Top Bottom