Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,518
- 238,741
Binadamu wote wasio na Ubongo wa Wanyama na wale wenye Utashi wa Mtu wanacho kitu kinachowatofautisha na Wanyama wa Porini au wale wa kufugwa kama Paka, Mbwa, mbuzi,Ngombe nk Watu hawa wanayo hisia inayowafanya waone aibu, yaani kuna mambo ambayo hawawezi kuyafanya hadharani kwa sababu ya Utu walio nao, Wanaona aibu kuyafanya hata kama mambo hayo yatawafanya wapate hela
Kuonea Aibu jambo baya ama lile la kudhalilisha Utu wa Mtu ni ishara ya Binadamu huyo kuwa na Akili timamu.
Hiki ndicho kinachowatokea Wanaccm wengi, wanaona aibu kushangilia ushindi wa ghilba uliojaa mauaji, utekaji na damu.
Lakini Je inawezekanaje mtu mwenye utashi wa Binadamu kuwa Mwanaccm? Jibu wanalo wenyewe