Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Huu ni muendelezo ya kilichojiri mahakamani, naona bunge la EU limetisha watu mpaka wamebadilisha gia, sasa kesi itasikilizwa katika mahakama ya wazi na wanachi wataruhusiwa kusikiliza...
57 Reactions
287 Replies
17K Views
Kupitia ukurasa wake wa X, Emmanuel Ntobi ameeleza kuwa amesikia msimamo wa waliojiondoa lakini yeye hana nia ya kujiondoa. Ikumbukwe kuwa Ntobi alikuwa team Mbowe wakati wa kampeni, na alitoa...
1 Reactions
1 Replies
481 Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zaina Telack ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kinachojengwa Ngongo - Ruangwa Lindi ambapo upande wa Ngongo ujenzi umefikia 45% na...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia...
3 Reactions
13 Replies
863 Views
Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi - rais wa tahliso Sehemu ya Mahojiano ya Rais wa Tahliso Ndg Geofrey Kiliba na Waandishi...
0 Reactions
5 Replies
462 Views
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya...
1 Reactions
7 Replies
657 Views
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI. Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi...
31 Reactions
219 Replies
9K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa...
36 Reactions
91 Replies
7K Views
Wakuu, Katika aliyepewa tuzo pale kuna ataweka kitu ambacho kinaenda kinyume na Rais ama jambo la wapinzani ambalo wanajua litamkera Rais? Mwananchi/The Citizen ikanyamazishwa shwaaaa na milioni...
3 Reactions
9 Replies
690 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo May 05,2025 ameongoza Wadau mbalimbali kwenye ugawaji wa Tuzo za umahiri kwa Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari Tanzania, zilizoandaliwa na...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna...
4 Reactions
11 Replies
838 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa Akizungumza mbele ya...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Kilio cha Wanawake na Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake kuhusu dhamana ya gharama za fedha za uchukuaji wa fomu, kugombea nafasi ya urais,uwakilishi na udiwani katika Tume ya Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama hicho. Zitto amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amesema chama hicho kinapiga hatua kubwa kwa kasi isiyopimika, huku akidai kuwa serikali kwa kukosa utashi wa kisiasa wa...
0 Reactions
5 Replies
518 Views
ACT wazalendo wameamuwa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa mabadiliko yoyote yaliyofikiwa hadi sasa ya kiuchaguzi ili kuifikia haki hiyo ya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama wanavyo hubiri kwenye...
0 Reactions
8 Replies
483 Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya...
1 Reactions
5 Replies
470 Views
Wanachama 54 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Morogoro vijijini wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wanachama hao wamerejesha kadi za CHADEMA...
0 Reactions
5 Replies
500 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika...
2 Reactions
11 Replies
828 Views
Back
Top Bottom