Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Nimeitoa sehemu... Curfew iliyotangazwa na IGP na kuwa enforced sehemu kadhaa ilisababisha malalamiko kuwa baadhi ya wananchi wasiokuwa na hatia waliumizwa na vyombo vya dola Oktoba 29 na...
9 Reactions
26 Replies
837 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kilichofanyika Ikulu Chamwino...
-1 Reactions
22 Replies
816 Views
MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa...
28 Reactions
28 Replies
1K Views
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama! Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa. Machawa wapo na dharau zako ndizo...
14 Reactions
24 Replies
661 Views
Sio Lissu peke yake. Wala sio Heche wala sio CHADEMA wanaotaka mabadiliko. Ufisadi, utekwaji na upendeleo ukomeshwe. Je, Lissu asigekuwa amewekwa ndani? Kingenuka vipi?
0 Reactions
6 Replies
258 Views
Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025...
31 Reactions
148 Replies
6K Views
Kwa wale wote wanaopenda kufuata mkumbo wa maandamano naomba niwakumbushe tu baada ya wao kufanikisha takwa lao la kisiasa utasahaulika kama ulijitoa uhai wako. Mwaka 2007 baada ya serikali ya...
13 Reactions
232 Replies
4K Views
Serikali ya Samia inaendelea kubangazwa haswaaa! Hadi wachilie bomba! ================= “Watetezi wa haki za binadamu wanaitaka serikali kuwaachia watu 5,000 waliokamatwa na kushikiliwa kinyume...
1 Reactions
2 Replies
174 Views
Mnakumbuka baada ya Hayati Magufuli Kufa alikua Kila siku anateua, yaan Kila siku kuteua ,ndio njia pekee ya Media kumtangaza. Dec 9 tunaenda kuzuia Uhuni wote huo!!
5 Reactions
8 Replies
382 Views
Wakuu Hizi taasisi zimebadilika sana. Siku hizi zinagawa pongezi kama njugu mawe!
0 Reactions
17 Replies
466 Views
Diwani wa Kariakoo, Haji Manara amewaomba wananchi wasimuite 'Mheshimwa'.! 😂
2 Reactions
5 Replies
328 Views
Jumuiya ya Wahadhiri wa Kiislamu nchini Tanzania imewataka Waislamu wote nchini pamoja na Watanzania kwa ujumla kujitenga na hamasa na ushiriki wa maandamano yanayohamasishwa kupitia mitandao ya...
1 Reactions
25 Replies
995 Views
Hali ya sintofahamu kwenye kijiji cha Nanjirinji A Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Wanakijiji wamegomea mkutano wa kijiji wakipinga Ubadhirifu unao fanywa na viongozi wa kijiji Mwenyekiti na...
1 Reactions
2 Replies
297 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema Tume ya kufanya uchunguzi wa uvunjifu wa amani wa vurugu zilizotokea Oktoba 29...
1 Reactions
7 Replies
672 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya...
0 Reactions
25 Replies
929 Views
Zitto: Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona. Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado...
19 Reactions
78 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amethibitisha kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 ulikuwa dhahiri...
0 Reactions
20 Replies
859 Views
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
0 Reactions
32 Replies
966 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa...
0 Reactions
15 Replies
457 Views
Back
Top Bottom