Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atazindua Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi.
1 Reactions
4 Replies
348 Views
Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Wataalamu wa fasihi najua sitakua mgeni kwenu mimi bawabu wa pili niliekuwa nasimama geti la ua wa ndani wa Bi kilembwe. Sasa hivi Tanzania kiongozi huruhusiwi kuziona changamoto za wananchi kama...
3 Reactions
1 Replies
149 Views
Malkia wa Muziki wa Injili Tanzania, Rose Muhando ameguswa na kauli za kiongozi huyu akisema; "Mzee huyu analigawa taifa kwa kuweka udini, kweli nimeamini Heri kijana madikini mwenye hekima kuliko...
1 Reactions
2 Replies
299 Views
Balozi Radhia Naima Mtengeti Msuya ni mdogo wa tumbo moja (ndugu wa damu) wa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM – Mtendaji Mkuu wa shughuli za chama. Balozi Radhia Naima...
3 Reactions
11 Replies
594 Views
kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Hili ndio swali ambalo binafsi najiuliza hasa ikitokea raia wanaandama kwa wingi na kwa amani huku media za kimataifa zikiwa zinafuatilia kwa karibu (zinakusanya ushahidi) kwa njia mbalimbali...
4 Reactions
19 Replies
652 Views
JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Dunia imepona Kila kitu ============ "Kama SADC itashindwa kulaani uchaguzi bandia wa Tanzania na ukatili mkubwa uliofanyika, basi wanahusika na ni lawama yao pia,” anasema Rais wa zamani wa...
4 Reactions
14 Replies
619 Views
Wakuu, Ila madaraka matamu bwana! Watu wakishwatemwa ghafla wanakuwa wakulima na wazee wa kutoa quotes za mafundisho😂😂😂 Bashe kasema ya niniiiiii? Bora niiinjoy zangu bana, kwanza maisha mfupi...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji...
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na...
5 Reactions
7 Replies
314 Views
Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa...
1 Reactions
14 Replies
588 Views
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF- Chama Cha Wananchi) MSIMAMO WA CUF JUU YA TUME YA UCHUNGUZI ILIYOTEULIWA NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN: CUF- Chama Cha Wananchi kulikuwa Chama na Taasisi ya kwanza...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya...
0 Reactions
6 Replies
343 Views
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini...
2 Reactions
28 Replies
861 Views
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza...
3 Reactions
29 Replies
997 Views
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi? == Mkuu wa Shule ya Uongozi ya...
1 Reactions
15 Replies
410 Views
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi. Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa...
8 Reactions
18 Replies
418 Views
Wakuu, Nimeitoa sehemu... Curfew iliyotangazwa na IGP na kuwa enforced sehemu kadhaa ilisababisha malalamiko kuwa baadhi ya wananchi wasiokuwa na hatia waliumizwa na vyombo vya dola Oktoba 29 na...
9 Reactions
26 Replies
837 Views
Back
Top Bottom