Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hellow! Ndugu John Heche na Chadema kwa ujumla, huu ni muda wa kukaa kimya kusubiri matokeo. Kama ushauri mlishatoa wa kutosha na hamkusikilizwa, hivi sasa muda wa kuonyesha mapungufu na udhaifu...
3 Reactions
5 Replies
185 Views
Ujumbe kutoka kwa Mheshimiwa António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 14 Desemba 2025, wakati...
1 Reactions
79 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza makandarasi wanaoshindwa kutekeleza miradi na ambao hawawalipi wazawa, wasipewe kazi nyingine.
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na...
3 Reactions
36 Replies
866 Views
Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa. Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru...
2 Reactions
37 Replies
806 Views
Serikali ya Tanzania imeanza kukusanya Sh586.4 bilioni kutoka vyanzo vipya vya ndani ili kuimarisha mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI na kusaidia Mfuko wa Afya kwa Wote (UHF). Hii ni baada ya...
1 Reactions
9 Replies
455 Views
Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa...
14 Reactions
36 Replies
1K Views
Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu...
13 Reactions
51 Replies
907 Views
Salaam! Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani, Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani...
7 Reactions
10 Replies
362 Views
The Tanzanian government is on the hunt for a Washington lobbyist to help “shape its narrative” on Capitol Hill and beyond as the East African nation reels from post-election violence that has...
17 Reactions
114 Replies
3K Views
Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US...
0 Reactions
8 Replies
227 Views
"Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee...
9 Reactions
45 Replies
984 Views
Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao. Mwandambo amehoji...
11 Reactions
13 Replies
540 Views
Mvutano kati ya bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote dhidi ya Boss wa mamlaka ya usimamizi wa bidhaa za petrol Nigeria bwana Farouk ndio mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii...
2 Reactions
4 Replies
260 Views
It's very unlikely hiyo D25 kwa watu kotoka na kuandamana kwa wingi kama ilivyokuwa O29. Ila hilo ndio lengo halisi, serikali ijitutumue kisha ionekane inakandamiza haki za wakristo, siku ya...
16 Reactions
46 Replies
1K Views
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Salam Tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga, naam uko msemo wa mtaani unasema "mwizi akiibiwa anaumia zaidi ya mtafutaji halali" labda ni sahihi sababu njia anayotumia kujitafutia ameshaibariki...
2 Reactions
4 Replies
183 Views
Historia Fupi ya vyama vingi Tanzania Tanzania ilirudia mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 baada ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1977 kuruhusu ushindani wa kisiasa. Kabla ya hapo, Chama Cha...
3 Reactions
12 Replies
814 Views
Kuna Video Diwani Arusha ameenda kufanya mkutano wananchi hawapo anabaki anaongea mwenyewe hii ndio shida ya mtu kupatikana bila ridhaa ya raia. Unamuongoza nani sasa nani amekuchagua, kwenye...
11 Reactions
11 Replies
715 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…