Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi...
4 Reactions
29 Replies
945 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Aidha...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Heko CNN Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa. Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu. Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi...
52 Reactions
148 Replies
5K Views
Vyanzo vya karibu na familia yake viliiambia CNN kuwa mwanamke huyo alikuwa na ujauzito wa miezi mitatu, na ameacha nyuma mume na watoto wawili. CNN
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa...
2 Reactions
8 Replies
411 Views
Huyu dada kapiga za kichwa sana kwa Samia! Tume alioiyunda Samia haina itagreti yoyote ya kufanya uchunguzi wowote kwa sababu mtu kama Said Mwema alikuwa IGP chini ya Kikwete watu walipigwa...
7 Reactions
10 Replies
649 Views
Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je...
8 Reactions
163 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia amegusa Mioyo ya watanzania, Amewapa Tabasamu,amewapa furaha . Ni hotuba ya Matumaini,ni hotuba iliyotoa Dira yenye matumaini,ni hotuba...
-1 Reactions
88 Replies
2K Views
Rais Samia! Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na...
4 Reactions
6 Replies
341 Views
Tutakinukisha. Hii kauli ndio msingi wa kesi ya uhaini inayomhusu Lissu. Mahakama ni chombo huru. Tume itapoingilia suala hili na kuanza kuchunguza ni kuingilia kesi iliyopo mahakamani. Kama...
3 Reactions
7 Replies
291 Views
Anandika Godlisten Malisa... "Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. "Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya...
13 Reactions
24 Replies
941 Views
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Leo kitengo cha mawasiliano serikalini wana kazi nzito sana, sijui watachomokakaje na hii report https://www.youtube.com/live/_rc5FxROnDs?si=UAsP2YZa9uBveWg1
4 Reactions
22 Replies
804 Views
NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA! Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua? Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera...
2 Reactions
3 Replies
179 Views
Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
8 Reactions
21 Replies
853 Views
Oyaa hawa jamaa siwaelewi wanalinda nini: kuna ulinzi wachungaji tumeambiwa tukachungie mbali
5 Reactions
28 Replies
939 Views
Ni kweli kwamba propaganda haziepukiki katika jamii yoyote yenye mijadala, misuguano ya kiitikadi, au mazingira ya kisiasa yaliyochangamka. Hata hivyo, changamoto kubwa si uwepo wake, bali namna...
0 Reactions
3 Replies
170 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson...
0 Reactions
4 Replies
279 Views
Back
Top Bottom