Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya...
0 Reactions
4 Replies
304 Views
---- Hakukuwa na maneno ya kutosha kuyaelezea. “Hii si hali ya kawaida,” ndicho kilichorudiwa angalau mara tatu na padre aliyeongoza ibada ya mazishi ya Dainess Raphael Sisa. Dainess, aliyefikisha...
5 Reactions
11 Replies
608 Views
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa...
8 Reactions
102 Replies
4K Views
Huyu jamaa ndo yule alotishia kwamba watakaondamana atadeal nao Kupitia X wananchi wakiongozwa na Hilda Newton wameanza kufukua mafile yake. Jina lake halisi ni Ibrahim Bakonzi. Kupitia ukurusa...
1 Reactions
23 Replies
969 Views
Kuhusu maashimisho ya siku ya uhuru msigwa amesema: taarifa kuhusu maadhimiaho ya siku ya uhuru kama yatafanyika au la mtapewa taarifa rasmi ndani ya siku mbili.
3 Reactions
5 Replies
336 Views
Joel Nanauka uwe makini sana, usije ukapoteza legacy uliyoitafuta kwa taabu na kwa mda mrefu kwa kutumiwa na huyu bibi kuficha uovu wake
8 Reactions
86 Replies
3K Views
Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema: "Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo...
1 Reactions
6 Replies
290 Views
Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya. Hali...
19 Reactions
25 Replies
1K Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya...
1 Reactions
4 Replies
283 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya...
0 Reactions
4 Replies
297 Views
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya upotoshaji wa taarifa wenye mrengo...
1 Reactions
24 Replies
742 Views
wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume...
3 Reactions
2 Replies
213 Views
Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika. Samia...
7 Reactions
12 Replies
452 Views
Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande...
2 Reactions
19 Replies
683 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi...
1 Reactions
6 Replies
236 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali...
1 Reactions
6 Replies
280 Views
Kulingana na ripoti ya CNN,wamesema kile walichokitoa ni kama robo tu ya ripoti nzima (tip of an iceberg), na kwamba kuna ya kutisha zaisi ambayo wapo nayo kwenye kalablasha na vingine wanaendelea...
5 Reactions
11 Replies
360 Views
Makada wa ACT-Wazalendo Kigoma Mjini waliojitambulisha kama wapiga kura wa Jimbo hilo Hamisi Mwitu, Johari Ali Kaburu, Luma Hamisi Akilimali na Pendo Kombolela wamezungumza na vyombo vya habar leo...
0 Reactions
6 Replies
265 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom