Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji wa Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali kwa kutumia fedha za ndani licha ya kuibuka kwa matamko kadhaa kutoka kwa wadau mbalimbali wa...
0 Reactions
10 Replies
380 Views
To avoid concealling information, elekeza specifically satellite zimulike, nchi iwe Kiganjani mwa satellite. Hatuna ubaya na nchi yetu, tunataka kujua ukweli wa nini kilitokea AFTER. BEFORE...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
DeletedMember281674
Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia. MUNGU akawe...
3 Reactions
3 Replies
270 Views
Mama alikubali kwamba tukio la October29 limetia doa kama taifa Leo kulikua na ulazima gani Gresyon msigwa kuita vyombo vya...
0 Reactions
10 Replies
357 Views
Watanzania wanalia baada ya mauaji ya kikatili ya wananchi mnamo tarehe 29 Oktoba 2025, na siku hiyo hiyo uchaguzi wa kiguni ulitokea ambapo viongozi wengine walichaguliwa bila kupigiwa kura na...
1 Reactions
5 Replies
327 Views
Mh Rais NATUMAI HUJAMBO na shikamoo! MH RAIS Kwa Hali ya upepo tuliyonayo Tanzania bara nashauri tafadhali. Badilisha wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi MH RAIS Kuna walio tuumiza...
0 Reactions
6 Replies
365 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Correct naming ni hiyo. Tusimpambe maiti kuwa amesinzia. Ni kuwa Mwanadamu amekufa.
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Bandugu mnawaona wabunge waliochaguliwa tarehe 29 Uko majimboni? Wamerudi kimya kimya na kuingia makwao usiku wa MANANE na hawaongei lolote? Wameshindwa hata kuitisha mikutano ya shukurani au...
3 Reactions
5 Replies
450 Views
  • Featured
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema...
10 Reactions
223 Replies
8K Views
Hapa sizungumzii mambo ya chama, nazungumzia icon muhimu ya Tanganyika ambayo Nyerere aliitupa baharini. Kuna baraka watu wanashindwa kuzipata kwakuwa Mungu akituma anakuta hakuna adrees ya...
3 Reactions
6 Replies
317 Views
Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Wakuu, Inatia moyo sana kuna watu wenye muhimu kwenye hii nchi ambao wako tayari kusimamia kwenye ukweli "Maiti ziliokotwa barabarani, majeruhi walipelekwa mochwari kumaliziwa Serikali ikiri...
14 Reactions
17 Replies
717 Views
Nilitegemea anayejiita Msemaji Mkuu wa Serikali na mtoa ufafanuzi mkuu Bwana Gerson Msigwa leo angebeba waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki...
9 Reactions
22 Replies
672 Views
  • Featured
Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imeliingiza Taifa katika hali ya maandamano yaliyozaa vifo, watu kujeruhiwa, kupotea na uharibifu wa mali...
52 Reactions
212 Replies
6K Views
Sikutaka kulisema hili ila sina jinsi ni lazima niwaeleze kweli. Hivi mnajua yeye ndo alitoa Oda watu wapigwe risasi🥲. Kuna jamaa mmoja yupo kitengo anakuambia walipewa oda moja kwa moja na Rais...
31 Reactions
40 Replies
2K Views
Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa. Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku...
3 Reactions
5 Replies
387 Views
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo...
9 Reactions
75 Replies
2K Views
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania. Kampeni hiyo inaenda na strong...
33 Reactions
90 Replies
3K Views
Back
Top Bottom