Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninachoipendea Dunia, kamwe haijawahi kuwa mahali salama kwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu. Pale Dunia inapopata taarifa na ushahidi tu juu ya masuala ya ukiukwaji mkubwa wa haki za...
30 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Featured
Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za...
21 Reactions
139 Replies
7K Views
Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
1 Reactions
4 Replies
334 Views
Mlio karibu na hawa vilaza, waambie wasijejichanga kwenda kuficha ushahidi, waalivyovilaza wataendelea kuficha upuzi wao. They are being monitored.
3 Reactions
3 Replies
314 Views
Hakuna uwezekano wa tume haramu ya kikundi cha kifasadi kuja na report yao kiuchunguzi baada ya CNN na BBC sababu walikuwa wanakuja na report za uongo. Kikundi hicho wanachokiita ni tume hakuna...
4 Reactions
10 Replies
512 Views
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; "Kuahirisha maadhimisho ya Uhuru na fedha kutumika kukarabati Miundombinu. Hii pia ni nzuri...
4 Reactions
4 Replies
362 Views
Nataarifiwa hapa na jirani yangu kijana wake alikuwa apate kipaimara tarehe 12 Desemba, nadhani sasa hiyo tarehe 9 wakaona laweza tokea lolote hadi hizo tarehe 12 So kanisa limerudisha nyuma...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uharibifu wa miundombinu iliyotokea siku na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 unapaswa kuwa funzo kwa taifa, akibainisha kwamba...
0 Reactions
13 Replies
560 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema uundwaji wa tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ni hatua muhimu ya kitaifa, akisisitiza...
2 Reactions
8 Replies
459 Views
Wakuu Hii nchi sasa inaongozwa na viongozi wasio na aibu wala hofu ya Mungu. kama wanazo akili basi wanalazimika kuziacha nyumbani ili wamfurahishe mkuu wao. Kwanza nimemsikiliza Gerson yan ni...
0 Reactions
2 Replies
168 Views
Wakuu, Binafsi mtaani kwangu kuna ofisi za serikali ya mtaa zimechomwa moto na kuna sehemu ambazo tulikuwaga tunakaa lakini siku hizi hatukai kabisa Na kuna mzee mmoja naambiwa kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Serikali ya Tanzania imefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu uchaguzi wenye utata uliofanyika takriban siku 25 zilizopita. Larry Madowo wa CNN ameripoti kuwa mkutano huo...
6 Reactions
22 Replies
881 Views
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko...
27 Reactions
51 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia, ametoa wito kwa taasisi za kikanda kuwatuma viongozi wastaafu wenye ushawishi barani Afrika kusaidia kuratibu mchakato wa kuweka ukweli hadharani...
0 Reactions
6 Replies
372 Views
Waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inachonganishwa kutokana na rasilimali zake. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wake wa kufanya tathmini ya athari ya machafuko ya...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa wale wote wanaopuliza filimbi ya kuhamasisha wananchi wachome nchi hawapo nchini, na kwamba kuna waliopelekwa...
0 Reactions
22 Replies
503 Views
Wakuu, Inasemekana Mwandishi wa Millard Ayo, Godfrey Thomas aliyekamatwa Arusha, chanzo ni video ambayo inaonekana mama amepigwa risasi, na binti akawa anamwambia mama amka, yule ambaye CNN...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Kutokana na ongezeko la kukamatwa na kutekwa kwa wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema, chama kinawakumbusha wananchi wote kutambua haki zao za kikatiba na kisheria wanapokabiliana na Jeshi...
4 Reactions
4 Replies
295 Views
Yeye mwenyewe kwenye press conference anajiona anatema point. Yani yuko shallow vibaya hana uwezo wa kujenga hoja yani bonge la kilaza. Muone na msikilize hapo chini.
5 Reactions
8 Replies
301 Views
Muda wa watanzania kuamka tayari umeshafika. Hizi porojo haziwezi kufanya kazi. Kamwambie boss wako "hauwezi kuzuia uharisho kwa kujichomeka kidole mqunduni"
1 Reactions
0 Replies
68 Views
Back
Top Bottom