Katika utamaduni wa siasa ya vyama vingi, kawaida ni kuwa na chama tawala na vyama vya upinzani. Katika hali isiyoyakawaida, hapa Tanzania, chama kikuu cha upinzani ndio kimepata wapinzani.
Ni...
Et unaenda kupiga Kura wakati anayetangaza Mshindi ndio anayeamua Nani atangazwe??. Kama sio kutimiza wajibu tu.
Kuna Kijiji kimoja huku Kanda ya Nyasa, Mwenyekiti wa Kijiji mpaka Leo ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo May 17, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya...
Amani iwe nanyi, twende kwenye mada.Mojawapo ya rafiki zangu alikuwa shabiki kindakindaki wa Mch Peter Msigwa.
Yaani kwa Msigwa humwambii kitu, siku Msigwa kaamua kuunga mkono juhudi aisee huyo...
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la...
Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025.
Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake...
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.
Aidha...
Chadema Kanda ya Kati wanazungumza muda huu mbele ya waandishi wa habari katika ofisi yao iliyopo Swaswa, Dodoma
https://www.youtube.com/live/9tpeXEUDWTA?si=VZLU3R33pExJHa5l
Dkt. Steven Karashan...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli...
Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo...
"Ndugu wananchi mwaka wa sitini na moja wa muungano wetu umeangukia kwenye mwaka tunaokabiliwa na jambo kubwa la kidemokrasia nchini. Tutafanya uchaguzi wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Kabla ya yote Baba Askofu Mwamakula akishirikiana na Mashehe wa Shinyanga(Siyo BAKWATA) akiomba Dua Kabambe ili kuondoa nuksi
Baada ya Kumtanguliza Mungu, Muumba wa Mbingu na Ardhi, kazi ya...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho kuandaa uchaguzi na kufanya uteuzi ili kuziba nafasi za viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, maarufu...
Wakuu,
Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi...
Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
Mbunge wa Morogoro Kusini...
Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.
Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.