Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, mjadala kuhusu mwenendo na matukio yaliyohusisha uvunjifu wa haki za binadamu umeendelea kushika kasi ndani na nje ya Tanzania. Malalamiko...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Wakuu, Yaani mpaka waandishibwa habari wenyewe aliowasifia kuwa na "Weledi" na "Maadili" walikuwa wakimuona fala😂🤣🤣, yaani vile waandiahi wanavyopigwa spana na wananchi unatoka kusema wamefanya...
5 Reactions
23 Replies
951 Views
Serikali imesema hakuna mtego wowote uliowekwa kwa Askofu Dkt. Josephat Gwajima, unaotokana na kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima analoliongoza Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Mkuu wa...
0 Reactions
8 Replies
409 Views
Miaka yote tumezoea kuona Rais anayeshinda kiti cha urais akizunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura za ushindi. Safari hii, licha ya Rais Samia kushinda kwa kishindo (98%) na...
2 Reactions
26 Replies
845 Views
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari leo Novemba 25, 205 amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa Wafanyakazi wa umma...
0 Reactions
1 Replies
190 Views
CCM wakilitumia jeshi la polisi walijiona kama miungu watu ndio wameshikilia pumzi ya Watanzania, UVCCM alikuwa tayari si kukudhalilisha tu hata kukuua mbele ya familia yako na hukuwa na sehemu...
11 Reactions
19 Replies
544 Views
Ama hakika uchawa mbaya sana. Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania Cha TBC leo Novemba 25, 2025 mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania anasema vyombo vya habari vya magharibi vilitakiwa...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Shura ya Maimamu na Viongozi wa taasisi za Kiislamu Mkoani Arusha imetoa tamko la kulaani machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, na kutaka hatua madhubuti zichukuliwe ili kurejesha na kulinda...
2 Reactions
30 Replies
839 Views
Kutoka Ubungo -Chai bora, jijini Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo chini ya Askofu Dkt. Josephat Gwajima, Jambo TV imepita na kushuhudia baadhi ya waumini wa...
1 Reactions
10 Replies
558 Views
Vijana walioshtakiwa kwa uhaini ni wajasiri na mashujaa kikosi cha kazi maandamano hayawezi kuwa kosa la uhaini kesi hizi zinamchafua samia zaidi anazima moto kwa kuuwasha zaidi akijua anazima...
0 Reactions
2 Replies
161 Views
Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania...
4 Reactions
24 Replies
723 Views
Ukiacha hii Propaganda za watu wanalipwa kuaribu amani ya nchi ni propaganda ambayo sasa imezoleka kwa wananchi ambayo utumiwa na viongozi ukwepa kuwajibika au kuwajibishwa kwenye makosa yao...
3 Reactions
11 Replies
479 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Sherehe za Uhuru za Desemba 9 kwa mwaka huu zisiwepo na fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho hayo, zitumike...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21 inatarajiwa kuendelea leo Novemba 25, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye...
1 Reactions
2 Replies
296 Views
Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Ilemela imewaachia huru watuhumiwa 57 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025 kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi wa...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM imewaachia huru watuhumiwa 47 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025, kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi wa...
0 Reactions
8 Replies
453 Views
Kulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli? Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa...
31 Reactions
83 Replies
3K Views
Back
Top Bottom