Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea. Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa. Jiandae tena Dec 9 .
5 Reactions
14 Replies
567 Views
Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa...
4 Reactions
4 Replies
309 Views
Viongozi wana tabia ya kutaengeza tatizo na kuja kujifanya wamelitatua wakati ndo watengezaji wa tatizo...
8 Reactions
10 Replies
386 Views
Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali...
6 Reactions
14 Replies
343 Views
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tayari Rais Samia na wasaidizi wake wako tayari...
1 Reactions
12 Replies
443 Views
Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma. Soma: Sherehe za sikukuu ya...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi 1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje 2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili 3...
5 Reactions
4 Replies
291 Views
Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025. 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3...
5 Reactions
8 Replies
456 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru na kuwafutia mashtaka ya uhaini washtakiwa wanne akiwemo Mwandishi wa Habari wa Ayo Tv, Godfrey Ng’omba. Wengine walioachiwa ni watoto watatu wa...
1 Reactions
5 Replies
382 Views
Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo...
1 Reactions
12 Replies
579 Views
Inauzi sana kuona kiongozi wa serikali anakuja mbele ya camera ooh pole tuvumiliane sijui nini maneno kibao yote hayana maana zaidi ya kutonesha vidonda na kupandisha hasira upya wananchi...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari, akihitaji nguvu kuunganishwa ili kufikia malengo ya Dira 2050. Prof. Palamagamba Kabudi...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon. Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu, Mwanzo mwisho Mwigulu anaongelea vitu vilichomwa na mali zilizoharibiwa wakiongeza na chummvi hadi tunapaliwa🤣 lakini sio kututajia idadi ya watu walioawa hata kwa makadirio. Yaani wameua...
2 Reactions
12 Replies
258 Views
‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Sijajua kama Mwigulu anafikiria kabla ya kuzungumza. Jana Novemba 24, 2025 na leo pia wakati anazungumza na wahariri amesema kulikuwa na watu wamezamia maandamano ambapo walikuwa hawajui hata...
5 Reactions
5 Replies
250 Views
TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025 Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya! Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia...
38 Reactions
40 Replies
2K Views
Kutoka mtandao wa X 👇. Tunasubiri majibu ya kizalendo kutoka kwa msemaji wa Serikali. -------------- Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani (U.S. Senate Foreign Relations Committee) imetoa...
22 Reactions
67 Replies
2K Views
Daa ni kama masihara lakini kwenye haya mauaji ya halaiki Samia hachomoi. Na ICC hawanaga haraka wanaweza onekana wamepiga kimya then 2026 wakaibuka. Pierre Bemba Aliya raia kama 200, ila ICC...
3 Reactions
2 Replies
254 Views
Back
Top Bottom