Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi. Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud...
7 Reactions
15 Replies
465 Views
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—žπ—’π— π—•π—’: π—˜π—Ÿπ—œπ— π—¨ π— π—Ÿπ—œπ—¬π—’π—œπ—£π—”π—§π—” π—œπ—ͺπ—˜ 𝗖𝗛𝗔𝗖𝗛𝗨 π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—‘π——π—˜π—Ÿπ—˜π—’ 𝗬𝗔 π—§π—”π—œπ—™π—” Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 900 wa ngazi...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hotuba ya Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Imeonyesha Kuwapenda na kuwajali sana Watanzania. Ni...
0 Reactions
42 Replies
623 Views
Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya! Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike...
3 Reactions
23 Replies
455 Views
Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa. Tangu yafanyike maandamano...
4 Reactions
5 Replies
225 Views
Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya yao kwa wakatoli 120 walioshitaki Padre Kitima ni watu wanaofanya vizuri lakini hawapo sehemu sahihi lakini credit kwao message...
28 Reactions
41 Replies
1K Views
Anonymous
Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa...
3 Reactions
4 Replies
298 Views
Sijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko. Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama...
26 Reactions
298 Replies
14K Views
Kwa yaliyotokea Tanzania mwaka jana ambapo, kwa mara ya pilli, watawala wetu wachovu na hovyo waliua watu wetu tokana na maandamano ya Oktaba 29 na kinachoendelea kwa sasa, ni dhahiri utawala wetu...
6 Reactions
16 Replies
376 Views
Ikiwa mtu atatoa ushahidi kwenye tume pendwa analindwaje dhidi ya watekaji?
3 Reactions
25 Replies
2K Views
GT Asipoonekana mioyo yetu inakuwa na amani sana maumivu na machungu ya M029 huwa yanapungua. Mshaurini aendelee kujificha hivyo hivyo huenda tukasahau hata kidogo.
5 Reactions
18 Replies
487 Views
'Kitu gani nyie?' Aliuliza rais Samia. Nadhani rais aliwakusudia Watanzania. Marais wa Afrika ni simba kwa wananchi wao, lakini ni fisi kwa Wakoloni! Ndiyo maana niliposikia swali hilo moja kwa...
2 Reactions
9 Replies
407 Views
Leo, Jumanne Januari 06.2026 familia ya aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole imefika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao Tanzanite Street...
6 Reactions
27 Replies
845 Views
Tanzania ilijitanabaisha hapo awali na kipindi cha muasisi wetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba tutakuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani NON ALINGNMENT MOVEMENT...
2 Reactions
19 Replies
250 Views
Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji...
12 Reactions
99 Replies
4K Views
Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa...
3 Reactions
26 Replies
780 Views
Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi. Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo...
2 Reactions
3 Replies
191 Views
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani. Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama...
37 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…