SALAAM ZETU SISI MALOFA NA WAPUMBAVU KWENU NYINYI WEREVU NA MATAJIRI..
Husika na kichwa cha habari hapo juu..natumai mu wazima, sisi kama mlivyotuacha msimu uliopita hali zetu bado tia maji tia...
Wadau hebu tufunguke na tuwe wakweli! Nina uhakika wasanii wate nchi nzima waliokusanywa chama kimoja wakiamua Leo kuachana na kukitumikia chama hicho basi chama kinaweza kupoteza mwelekeo kabla...
Kuna kila kiashiria kwamba CCM imeona haitaweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu kwani upinzani ni mkubwa sana. Wameshatumia mbinu zote za kuwanunua viongozi wa UKAWA na zimeonekana kubuma na badala...
Chama cha mapinduzi(CCM) ni chama chenye mipango makini sana kuhakikisha ushindi unapatikana, katika kuimarisha mapambano makundi mengine zaidi yataingia kazini kusaka kura, mpaka itakapofika...
Bibi Judith Sargentini, Mbunge wa Bunge la Ulaya .
Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa uchaguzi.
Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
Ni muda mrefu sana tangu vuguvugu la uchaguzi lishike kasi, watu wamekua wakichangia, wakitoa maoni yao na kueleza hisia zao!
Nimekua mfuatiliaji tu wa yanayoendelea kwa muda wote huo, ila leo...
Mgombea kupitia ccm dr magufuli atakuwa katika viunga vya shinyanga kumwaga nondo huku akiambatana na wanaharakati mbalimbali wa chama ambao watakwa na kazi moja kushusha sindano moja kwa...
Nafikiri mnaona matangazo yanayorushwa na STAR TV juu ya mgombea wa CHADEMA/UKAWA.hawarushi kabisa habari za upinzani katika vyombo vyao.kila mtu anaona.hawako fair kabisa,tena wanazidiwa na TBC...
Wasalaam wakuu!
Nikikumbuka wakati lilipoanza vuguvugu za maandalizi ya kuingia kwenye Uchaguzi mkuu Mwaka huu taasisi nyingi zilifanya utafiti wa kura za maoni na kuanika matokeo kwenye media...
katika hali ya kusikitisha umoja wa vyama vinavyoongozwa na fisadi papa na msaidizi wake waliotoka CCM imekuwa tete katika baadhi ya majimbo hapa nchini na huenda wakapoteza kabisa baadhi ya hayo...
Nawashauri wenzangu wa CCM wasije wakahudhuria mdahalo huu watakuja kupata AIBU ya mwaka. Wataulizwa maswali kuhusu SERA zao kuhusu Afya, Elimu, Maji, Utawala bora, rushwa na watashindwa kujibu...
Hili jambo kila siku linazungumziwa hila hatujui kwamba viongozi wapo siriusi kiasi gani katika hili sote tunajua kwamba CCM wamejimilikisha viwanja vya michezo vya umma sasa basi umoja wa katiba...
Mgombea urais kwa tikiti ya TLP Bwn.Maxmilian Lyimo amempa ushindi Lowasa.Mgombea huyo amesema kama uchaguzi ungefanyika September basi Lowasa angeibuka kidedea.Lyimo amepinga tafiti za kijanja...
Wakuu! Kutokana Na Watanzania Kutaka Mabadiliko Na Chama Tawala Kupitia Kwa Ndg Abdala Buhembo Kuapa Kuwa Ccm Haitaachia Madaraka, Habari Nyeti Ni Kuwa, Watanzania Kutoka Mikoa Yote Watampeleka...
Mtafaruk mpya umezuka pale ambapo unapona wabunge wanagoma kutembea na lowasa wakidai ya kuwa
walishamchafua sana na kumuita kila jina ambalo hata mengine dunian hayapo wamesema wakimnadi upya...
Wana jamvi, naomba wanasheria na wataalam wa utawala watusaidie hapa.
Mpaka sasa JP Magufuli bado ni Waziri kamili wa Barabara zetu. Nina maana Cabinet bado ipo na ndiyo maana naona mawaziri...
Zikiwa zimebaki siku 30 kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na Madiwni unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 mwaka huu, Mgombea anayegombea kupitia umoja wa Katiba ya Wananchi, Edward Lowassa...
Niko njiani kwenda Arusha kuhudhuria Semina za kiwakili na Mkutano wa nusu mwaka wa Mawakili utakaofanyika tarehe 26 mwezi huu. Nitakuwa Arusha hadi Jumapili ijayo.
Uwepo wangu Arusha utanipa...
Ama kwa hakika CCM mmekosea sana kwa ujumbe huu ambao umekuwa
ukiendelea kwenye vituo mbalimbali vya TV na REDIO, mfano ni pale ninapoona
katika Video za ujumbe huu askari wakipiga mateke vyombo...