Kama Star Tv ndiyo waandaaji/Warushaji wa Midahalo Chonde chonde UKAWA Msishiriki

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Nafikiri mnaona matangazo yanayorushwa na STAR TV juu ya mgombea wa CHADEMA/UKAWA.hawarushi kabisa habari za upinzani katika vyombo vyao.kila mtu anaona.hawako fair kabisa,tena wanazidiwa na TBC

Pia tazama mijadala yao ya kila siku asubuhi wanawaita wanaopenda kuponda lowasssa.

hivyo kama waandaaji wa midahalo wanarusha matangazo yao kupitia STAR TV basi naomba UKAWA wasishiriki kabisa.
 
Hata mdahalo ungeandaliwa ITV Na makene akawa muongoza mdahalo,Lowasa hawezi kuhudhuria.
 
Sasa kama eddo ataulizwa swali na ufafanuzi wa hilo jambo utachukua zaidi ya dakika tano si itakuwa balaa siku hiyo?
 
Naangalia hapa kipindi Chao cha Jicho letu ndani ya habari,ni vituko vitupu Huyu Mwendesha kipindi studio ya Dar es salaam ANAPANIKI,ANATAKA KUWAPANGIA WATU CHA KUONGEA LAKINI ZAIDI SANA AMEGEUKA MSHIRIKI
 
Hivi kunamtu bado anaangalia hiyo star tv sikuhizi? Watu tulisha delete sikunyingi hata kwenye list ya ving'amuzi vyetu hatutaki kuiona.
 
Back
Top Bottom