Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao. Lakini la kushangaza bado kuna mgao...
4 Reactions
5 Replies
661 Views
Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na...
1 Reactions
8 Replies
744 Views
Kuandikisha watoto ili kuiba kura mshinde muunde Serikali mnaweza, mna kila mbinu za wizi wa kura ili muongoze ila hamna mbinu za kutatua changamoto za mnaolazimisha kuwaongoza. Au akili huishia...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa...
2 Reactions
2 Replies
718 Views
Akina mama Morogoro waandamana na madumu matupu wakidai maji Wataka Mama Samia awasaidie Kiongozi wa maji asema hajui kama wana kero Waziri wa maji upo na Wizara ya Maji mpo? Pia soma Waziri...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Hostel ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam tawi la Ubungo kuna matatizo mengi yanawakumba wanafunzi. Moja kati ya matatizo hayo ni upatikanaji wa maji. Hostel ya Ubungo licha ya kukaa zaidi wanafunzi...
8 Reactions
85 Replies
3K Views
Mama achana na machawa fanya kazi https://youtu.be/nNphQMdV-XU?si=r54NUretG0H5LM2d
9 Reactions
44 Replies
3K Views
TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo...
16 Reactions
41 Replies
3K Views
Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta. Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama...
4 Reactions
8 Replies
706 Views
Anandika Khamis Kagasheki. Ninaona usumbufu wa kufunga barabara na kusimamisha magari unazidi kuwa mkubwa. Ukiuliza unajibiwa "msafara." Tatizo hili limekuwa likiongezeka lakini kwa sasa limekuwa...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika. Hali imekuwa mbaya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Wahudumu watoa vyeti bila rushwa utaambiwa; kalete status, mara let's risiti, mara mfumo wa ku-print vyeti unasmbua, baadae njoo kesho. Ukija kesho yake watakuambia njoo jumatano au ijumaa ndiyo...
1 Reactions
6 Replies
600 Views
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro. Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu...
0 Reactions
2 Replies
797 Views
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF...
2 Reactions
3 Replies
904 Views
Salaam! Naomba kutoa hoja hii kuhusu barabara tajwa! Ina changamoto kubwa sana ya msongamano wa magari makubwa na madogo. Na hii inatokana na ufinyu wa barabara kutokana na mahitaji ya sasa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna...
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji. Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la...
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Back
Top Bottom