Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB) Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa Tunawaomba mtume...
2 Reactions
6 Replies
797 Views
Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha. Kampuni ya Ongujo Invesment...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali...
2 Reactions
7 Replies
855 Views
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea. Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu...
2 Reactions
2 Replies
408 Views
Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini? Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kiwanda hicho ambacho ni mali ya serikali kwa sasa hakifanyi kazi kimeuzwa kwa thamani ya shilingi bilioni 3 wakati thamani halisi ya kiwanda hicho ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 157...
1 Reactions
3 Replies
716 Views
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50...
9 Reactions
39 Replies
7K Views
UTANGULIZI Katika mazingira ya kisiasa yanayoendelea kubadilika, mchakato wa uchaguzi unachukua nafasi muhimu katika demokrasia ya nchi. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazokabili mchakato...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapo vip!! Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho. Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana. Leo nimepita pale na gari tunashindwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao. Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na...
1 Reactions
12 Replies
724 Views
Huyu jamaa ni nani ? Hii picha inamuonyesha akiwa Dubai kapokelewa kwa ajili ya negotiations
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Hapo vip! Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa. Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
IKUNGI-SINGIDA, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo...
8 Reactions
42 Replies
6K Views
NEC RUKWA SULTAN SEIF ANAVYOKWAMISHA MRADI MKUBWA WA TAZA Mradi huu Mkubwa wa Umeme sasa upo kwenye mashaka kutekelezeka kwa sababu ya hila Chafu za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
3 Reactions
0 Replies
763 Views
Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi huku Lucas Mwashambwa na Josephaty chawa mkuu kukosa uteuzi huo. Taja jina la mrithi wa DC...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana...
5 Reactions
8 Replies
682 Views
Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
0 Reactions
6 Replies
803 Views
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila...
19 Reactions
132 Replies
4K Views
Back
Top Bottom