Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jana Jumapili Mei 11,2025 wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi...
0 Reactions
5 Replies
565 Views
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi...
16 Reactions
29 Replies
5K Views
Hizi sarakazi zote mnazoziona hazipo kwa maslahi ya Taifa wa maslahi ya chama( CCM ) bali ni kwa maslahi ya wahujumu na wezi wanao linda mali na mianya yao isibugudhiwe na ndio maana kwanza...
4 Reactions
7 Replies
460 Views
MAAZIMIO YA IDU JUU YA HALI MBOVU NA HATARI YA SIASA TANZANIA Umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) ulihitimisha mfululizo wa mikutano yake kwa mkutano mkuu uliofanyika tarehe 16.05.2025...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa CHADEMA. Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama. Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA ikiwemo Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesisitiza Sera ya chama hicho ya Lishe maarufu Ubwabwa akisema Taifa lisilo na lishe haliwezi kujiletea maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Nimepenyezewa taarifa na mbunge mmoja wa Covid-19 mkoa wa Singida muda huu. Ngoja tuone.
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa. Ni suala la muda tu. Kuna ambao wangetaka...
3 Reactions
97 Replies
4K Views
Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi...
43 Reactions
92 Replies
5K Views
Wasanii siyo kama Lucas Mwashambwa anayepiga Miruzi akiwa maporini huko bali Wasanii huwa kwenye misafara yote ya viongozi wakuu wa vyama na serikali Wasanii wana uzoefu wa kutosha wa Siasa za...
0 Reactions
6 Replies
416 Views
Wakuu, Kunazidi kutokota huko, majirani wanasema hawatakaa kimya wakiona wenzao wanahenyeshwa wakati hawajafanya kosa lolote. ===== Wakenya wasema watakuja Tanzania kusikiliza kesi ya Lisuu, na...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kibiti, Mohamed Seif, pamoja na viongozi wengine watatu wa chama hicho, wametangaza kujiuzulu nyadhifa zao na...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mwalimu wa vyama vingine ili waendelee kujifunza kwao. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, ametoa kauli hiyo leo...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama...
52 Reactions
151 Replies
9K Views
Wakuu, Imekuwa ni njama inayosukwa kwa kipindi kirefu kuweza kufungua X ili kuzua wakosoaji wanaopiga spana pande hizo, sema wakati huo hawakuwa na justification, ushoga ulikuwa hautoshi maana...
2 Reactions
4 Replies
672 Views
Wimbi la kuondoka madarakani na kuachana na chadema limeendelea tena leo hii huko mkoa wa Tanga. --- Wanachama 158 wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Mkoani Tanga wamejiondoa kwenye...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu, Wadukuzi wameonesha ni jinsi gani kuna matobo kwenye mifumo ya ulinzi nchini. Mpaka page ya polisi inadukuliwa, baada ya kuangalia wamewezeje kufikia mifumo yao eti wanamtafuta mpotoshaji...
16 Reactions
55 Replies
4K Views
Bila reform wapenda mabadikilo kokote kule ni vigumu sana kwenda kupiga kura, hata kama leo hii CDM ikasema itashiriki uchaguzi sio rahisi tena watu wabadili mawazo na aakapige kura. Waatakao...
7 Reactions
12 Replies
596 Views
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais...
31 Reactions
66 Replies
3K Views
Tundu Lissu ameshafanikiwa big time. Historia kashaiandika kwa kupitia kuelimisha UMMA kuhusu NRNE - a big move! Watoto wengi wa Chuoni wanaosoma Sheria na Utawala wameshapewa desa, limewaingia...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom