Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Za leo wandugu, naomba tuwekewe matokeo ya hizo kura za urais tunazoambiwa ziko tofauti na kura zilizosomwa na tume, haitabadilisha kitu lakini itatuonyesha ni wapi penye utata.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani hivi Jaji Mkuu si Mwanasheria? Au Mwanasheria Mkuu hawezi kuwa Jaji Mkuu. Nini masomo ya Jaji na masomo ya Mwanasheria? Na nani ni mkubwa kati ya hawa wawili? Welcome In Jesus Name.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakati tume ya uchaguzi ikiendelea kutangaza matokeo ya urais kupitia mgombea wenu mlisema kura zinazotangazwa na tume siyo sahihi, kuna uchakachuaji hivyo hamtakubaliana na kinachofanywa na tume...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa jinsi hali ya foleni za barabarani ilivyo hapa jijini dsm namshauri Mh.Rais baadhi ya wizara azihamishie mikoani hii itapunguza mbanano jijini hapa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Baada ya kazi kubwa ya takribani miaka 5, 4u mvt kugeuzwa kuwa taasi ya uchumi na maendeleo ya vijana Tanzania. Hii ni kutokana na kushindwa vibaya kwa Mh Edward Lowasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya chama cha upinzani CUF kushinda uchaguzi Zanzibar ingawa wanajaribu kuchelewesha kutangaza na kumuapisha Rais, Zanzibar ndio itakuwa kifuta ujinga huku bara baada ya Maalim Seif kuapishwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hakutakuwa na shamrashamra zozote mitaani. Watu watakwenda makazini na kwenye shughuli zao za kiuchumi kesho yake kama kawaida. Watu hawatajifungia siku 3 majumbani wakisubiri kwa hofu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nakupongeza na kukuombea sana Ngosha, JPM,Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Tanzania- John Joseph Magufuli. Ile kasi aliyokujalia Mungu wako (maana kweli unamtegemea sana.) Watanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
CHADEMA mmpatwa na nini? Mgombea wa urais mmetoa kapi CCM baada ya kukosa mgombea huko kwenu vile vile kwa mgombea mwenza mkamuazima kutoka kwa wazee wa ngangari ingawa mlikuwa mnawahujumu katika...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
JK, Makinda washatangaza na wao bado ni wadogo kwako, unatangaza lini mzee wetu wa kasi na viwango?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete ni kweli kastaafu ila amefanya mengi ambayo watanzania hatuna budi kusema asante Rais. Wapo wengi wanaomponda na kusema hakuna alilolifanya ila ni bora tungemsema hivo na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Natafakari kidogo hali ya Zanzibar!. Kujitangazia matokeo ni kosa la jinai!, kama ni kweli Maalim Seif, amejitangazia ushindi, kwa nini mpaka sasa hajashitakiwa? Na kilichofanywa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu salam, Mwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya 2015-2020 naomba aiweke hapa katika mfumo wa PDF maana nimetafuta kwenye website yao sijaiona. Asanteni ===== PDF: Ilani ya chama cha...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
kafulila wanyonge wanatambua. Chukua karata hiyo urejeshe iman za raia kwa ko. bila hivyo ulie tu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Katibu wa UVCCM wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Bi. Anna Gideria ameteuliwa na Chadema kuwa mbunge wa viti maalum. Bi. Gideria amejiuzulu nafasi ya ukatibu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanza, nampongeza mtani wangu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kwa kuidhinishwa na Bunge la JMT kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Mh. Rais Magufuli ana imani naye katika kutenda kazi zake na anamhitaji...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa picha hii ya bungeni Dodoma ni wazi kwamba bora tu hao jamaa wachukue urais kwanza ili UKAWA ujipange kuweka uwiano wa wabunge pale bungeni. Kama sheria zote pamoja na sheria mama na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam, Ndugu wana jamvi kwa maoni yangu. Imefikia wakati wabunge wa ukawa wapiganie muungano wa vyama utambulike kisheria na kupatikana kwa tume huru na matokeo ya uraisi yaweze kuhojiwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
MIONGO nane na ushee iliyopita alikuwepo Wendell Willkie. Huyu alikuwa mwanasiasa maarufu halafu mzito mno nchini Marekani. Kutokana na umaarufu wake, Willkie alikuwa na kiburi, mwenye kujiamini...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
tarehe 22/11 ndo uchaguzi wa mbunge wetu. nawaomba vijana tuwe makini na walaghai wa tsht na buku mbili, hv 2000 itakufikisha wap? mi ni hayo 2, pia embu hv vikao visivyorasmi viishe, leo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom