PDF: Ilani za CCM na CHADEMA mwaka 2015-2020

PDF: Ilani za CCM na CHADEMA mwaka 2015-2020

Ilani yao imesahaulika kwenye kugawa million 50 kwa kila kijiji.
 
Wakuu salam
mwenye ilani ya chama cha mapinduzi ccm ya 2015-2020 naomba aiweke hapa katika mfumo wa pdf maana nmetafta kwenye website yao sijaiona
asanteni
kamata hiyo mkuu
 
inakuwaje ilani ya uchaguzi YA CHAMA hiwe ndo dira ya TAIFA? SO vision yetu ni 2020 na si 2025?
 
Back
Top Bottom