Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

The Venezuelan people are today rid of Nicolás Maduro’s dictatorship and can only rejoice. By seizing power and trampling on fundamental freedoms, Nicolás...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Clayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa. Kitendo chake cha...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Hapo vip! Kwa mauwaji ya kishetani na yakidharau yaliotokea oct.29 na 30 lazima wahusika nao, wateswe na kuuwawa vile vile. Ameuwa kwa upanga naye auwawe vile ni mtu mbaya sana huyu...
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Wakuu, Nimekutana na video ya huyu wakuitwa mwanaharakati huru, Ahmed Kombo, akimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Kombo amesema kuwa Heche hana haki ya kulalamikia uchaguzi...
1 Reactions
7 Replies
191 Views
Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za...
4 Reactions
20 Replies
436 Views
Copy and paste: Imagine muujiza alioufunya Mungu kwa Wavenezuela. Wameuwawa, wametekwa, wamefirwa,wamefungwa ila just one night wanaamka asubuhi yule aliyewafanyia hayo yote kwa miaka mingi sio...
7 Reactions
4 Replies
170 Views
Hii ipo wazi shujaa yoyote yule ambae anajitoa kupambania taifa lake ili kulinda taifa lake alafu inatokea anafariki kwa utata kiasi cha kila mtu kutoamini kama alifariki kwa natural death damu...
6 Reactions
20 Replies
433 Views
Dkt. Godfrey Malisa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo zote zimepangwa kutajwa tena Januari 16, 2026 baada ya kuahirishwa jana, Januari 2, 2026; - Kesi ya...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Tukisema tuna viongozi wa hovyo mnasema tunatumika na mabeberu haya kunyweni hilo tope Uranium zipo chini!!!
6 Reactions
17 Replies
325 Views
Miaka 17 iliyopita Mwigulu akiwa Naibu Katibu mkuu wa CCM alitengeneza kesi ya kuifuta Chadema akashindwa, alinaswa akionga watu Pesa msikilize Tundu Lissu, Miaka 17 baadae Mwigulu anakuja na...
7 Reactions
13 Replies
320 Views
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki Trump Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na...
3 Reactions
30 Replies
498 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa...
47 Reactions
68 Replies
2K Views
Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa. Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa. Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha...
13 Reactions
31 Replies
656 Views
Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao. Ndo maana hata mradi unaenda...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
  • Featured
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia...
16 Reactions
27 Replies
1K Views
  • Redirect
fikiria yeye alipiga pingu wangapi, alifunga wangapi, aliua wangapi, kweli maisha ni fumbo aise, duh ...
1 Reactions
– Replies
– Views
Nchi ikiwa na idara ndogo ya Usalama kama kitengo kimoja tu na kukosa kiongozi mahiri na katiba inosiginwa kila mara, huyumba sana na kukosa mwelekeo na yale tunoyashuhudia leo ni matokeo ya...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata...
12 Reactions
29 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…