Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatuna duka linalouza hekima. Hakuna mganga wa kienyeji toka Sumbawanga anayeweza kuzindika hekima. Hatuna daktari wa kufanya operesheni kuingiza hekima kichwani. Hakuna muujiza wa maombezi...
54 Reactions
127 Replies
15K Views
Wanabodi Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Tanzania ni sehemu pekee ambapo biashara inaweza kufa kutokana na uwepo wa wateja wengi. Kama hali ilivyo kwenye mabasi ya mwendokasi, ndicho kinachoonekana hapa SGR.
2 Reactions
26 Replies
710 Views
1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani. 2. Vinywaji (visivyo vilevi)...
3 Reactions
10 Replies
734 Views
NUKUU za Hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kulihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka Mpya 2026.
1 Reactions
13 Replies
588 Views
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao. Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule? Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
50 Reactions
174 Replies
17K Views
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama...
39 Reactions
102 Replies
3K Views
Kichwa kiko wazi. Sijaacha kujiuliza kila ninapomsikiliza Mkumbo Madelu au Mwigulu Nchemba. Akiongea, huwa sioni chembe ya usomi achilia mbali udaktari. Anaongea kama mlevi pale kijiweni. Ni...
27 Reactions
58 Replies
1K Views
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA. Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa...
6 Reactions
38 Replies
839 Views
Mange kimambi ameandika yafuatayo "Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa...
4 Reactions
13 Replies
438 Views
Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti. Itumie kuleta HAKI. Watetee wahanga wa D29, wape faraja Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa! ITUMIE KUITETEA...
3 Reactions
5 Replies
220 Views
Kumekuwepo na vikundi visivyo rasmi vikiteka na kuuwa raia hali hii inahatarisha usalama wa taifa kunatoa mwanya kwa majambazi kufanya uhalifu. Huwezi kumtofautisha polisi na jambazi vyenyewe...
1 Reactions
9 Replies
227 Views
Mbunge wa zamani wa Muleba Kusini na waziri wa Ardhi katika serikali ya awamu nne Prof. Anna Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Anaandika; "Wakati tunasubiri Tume ya Uchunguzi kutupa...
5 Reactions
11 Replies
558 Views
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio...
39 Reactions
155 Replies
5K Views
Uwajibikaji wa kweli unahitaji mikutano ya mara kwa mara, kusikiliza maoni ya wananchi, na kutoa taarifa za maendeleo hata nje ya kipindi cha kampeni. Hii inasaidia uwajibikaji na ushirikiano...
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla. Lakini shuhuda ametoa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na...
4 Reactions
62 Replies
1K Views
Wakuu, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa...
6 Reactions
19 Replies
925 Views
Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa...
3 Reactions
2 Replies
193 Views
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo...
2 Reactions
7 Replies
220 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…