Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.
Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa...
Serikali nzima haitakiwi, Samia na Mwigulu ndiyo kabisaaa, hawatakiwi na watanzania.
Maandamano ya 29.10 yalichochewa na mambo mawili: kuzuia uchaguzi na kuukataa uteuzi wa Samia kama mgombea...
Wizara ya Mambo ya Nje acheni kumaliza miti kwa maneno meeengi na longolongo nyiingi.
Mlikuwa na muda wa kurekebisha kuepusha Watanganyika wasiuwawe na kutendewa vitendo vya kinyama kwenye nchi...
Madenge leo kaamua kunyoosha maelezo kwa kutoa shukrani za kupokea pesa ila watu wamebaki wakitukana, $2M ni nyingi mno ni kama bil 5 za kitanzania kwa mahesabi ya haraka haraka
Pia niendelee...
Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake
Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na...
Akizungumza leo Novemba 27, 2025 Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Amani Golugwa amesema Serikali ya Tanzania inahitaji kujitathmini kueleza ukweli na siyo propaganda...
Mazishi ya aliyekuwa Wakili mtetezi wa watuhumiwa wa maandamano wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu, Beatus Linda, yamefanyika jana katika makazi ya familia yao eneo la Nyamhongolo, Wilaya...
Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.
Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road...
Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa
Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa...
Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook.
WAZEE HUKUMBUKA NA KUTAFAKARI
1. Lilikuja Azimio la Arusha: Yaliyofichwa Yakafukuliwa. Tukawa ndugu bila kuwa sawa lakini tukawa wamoja. Maskini...
Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Pia...
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema serikali kupitia kwa Msemaji wa Serikali imeshindwa kujibu tuhuma zilizotolewa na CNN kuhusu uwepo wa makaburi ya halaiki. Amesema kama kuna uwezekano...
Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya...
Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana.
Kifuatacho sasa ni kwa Wafadhili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund...
Nimesikiliza kwa umakini na wivu mkubwa ujumbe wa mwisho toka kwa afande kanali , ndugu Augustino polepole.
Huyu ni mtu ambae ni wazi Hana Tena cha kupoteza. Nafikiri ni ndugu ambae aliapa...
Jeshi la Tanzania mmewaangusha watanzania, mnasema mnalinda raia na mauaji yaliyotokea oktoba 29 mmeyakalia kimya?
Wasanii wa Tanzania marufuku kukanyaga Kenya.
Ni wazi na ukweli kuwa tarehe 29 Oktoba 2025 itakumbukwa milele kama siku ambayo Watanganyika kwa mamia waliuawa kikatili na utawala wa Samia Suluhu Hassan! Kwa siku tano mfululizo Watanganyika...
Visiwa vya Zanzibar, ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vimekumbwa na mdororo mkubwa wa watalii takribani mwezi mmoja baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu uliogubikwa na matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.