Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2020 Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM alitangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225 akimshinda aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Anaitwa John Pambalu, ambaye alivunjwa mguu ilipotokea sekeseke la polisi kuzuia wananchi na wananchama waliofika kuhudhuria kesi ya Lissu Aprili, 22, 2025. Kosa kubwa lililofanya avunjwe mguu na...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye...
0 Reactions
8 Replies
912 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama...
1 Reactions
4 Replies
558 Views
Wakuu, Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi. Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka...
51 Reactions
261 Replies
14K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Ubalozi wa Juu wa Uganda nchini Tanzania umeomba taarifa rasmi kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa raia wake, Bi. Agather Atuhaire, katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche ameeleza kwanini wanaona ajenda ya No refoms No election ni muhimu kwa sasa. Anaanza kwa kuhoji, 1. Je...
2 Reactions
5 Replies
724 Views
Mwenyekiti wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, Mei 22, 2025, amekabidhi matofali 41,000 na Saruji tani 102 kwa kata zote 41 za Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Vijana nchini Tanzania hususani waliopo vyuoni wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kudumisha utulivu, amani na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na Mdau wa...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Watu wameanza sasa kutoa misaada kwa wananchi wakiwa na lengo la kuja kuungwa mkono katika kura za maoni. Nimeona wengine wanatoa mifuko ya sementi na mabati mengi nia yao ni kuwarubuni wananchi...
0 Reactions
3 Replies
278 Views
Rungwe amefanyiwa mahojiano na Maktaba media na alipoulizwa kuhusu tetesi za huenda kundi alilolipokea kutoka CHADEMA linaweza kumpora chama cha CHAUMMA amejibu; "Inawezekana kama lengo lao ndiyo...
0 Reactions
5 Replies
810 Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Shamira Mshangama, akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Aiseeee leo ni bandika bandua! Kila sehemu moto! Mzee wa kesi katimkia zake ACT Wazalendo bana, yeye hajataka kwenda kula ubwabwa😂😂 ===== ACT Wazalendo wanafanya mkutano na waandishi wa habari...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Wakuu, Kwakwlei sijawahi kuona hili likifanyika hasa ukizingatia ni chombo cha habari! Maana lengo la chombo cha habari ni kuhabarisha umma na kutaka taarifa zisambae kadri inavyowezekana. Hapo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom