Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

atoa ushauri huu kwa wasanii wa muziki wa Bongo fleva namna ambavyo wanaweza kurudi kwenye game ya muziki na kuwashawishi mashabiki ili waendelee kusupport kazi zao. Pia Soma: Wasanii wa Tanzania...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Tanzania mpya imezaliwa tarehe 29/10/2025. Kila mpenda haki amefurahi bila kujali yupo chama gani. Kwa CCM tumefurahi zaidi ila wengi hawataweza kuweka furaha zao wazi kwa sababu mbalimbali...
2 Reactions
6 Replies
417 Views
Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa...
1 Reactions
18 Replies
638 Views
Wakuu Mzee Andrew Nyerere, mtoto wa kwanza wa Mwalimu Julius Nyerere, amerudi tena kwenye mjadala wa kitaifa akitoa maoni yake kuhusu tukio la maandamano ya Oktoba 29, 2025. Akizungumza na...
5 Reactions
10 Replies
446 Views
Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa. 1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa...
9 Reactions
20 Replies
648 Views
Wanazuoni wa kiislam kutokea Iringa kupitia hotuba yao kwa vyombo vya habari wameeleza kuwa haki itafutwe pakiwa na amani njia ya amani na si kwa vurugu na uvunjifu wa amani. Na haya ni baadhi ya...
2 Reactions
49 Replies
1K Views
Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote africa. Lazima uchaguzi ufutwe , mateka waachiliwe, katiba mpya, wauwaji wafungwe minyororo...
17 Reactions
20 Replies
788 Views
Habari za leo ndugu zangu Watanzania. Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu. Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini...
7 Reactions
73 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN “Kwa ajili ya Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa” Na: Steven Mmbogo - 24 Novemba 2025 Mheshimiwa Rais, Ninakuandikia barua hii kwa...
9 Reactions
18 Replies
569 Views
BARUA KUTOKA GEREZA KUU LA UKONGA. Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu: Kwa mujibu wa Taarifa ya awali ya watazamaji wa uchaguzi kutoka umoja wa Africa (AU); 1...
41 Reactions
54 Replies
2K Views
Shirika la Intelwatch la Afrika Kusini limewasilisha mashtaka mahakama ya ICC, kuitaka mahakama hiyo kuchunguza madai mazito ya mauaji, utekaji na utesaji wakati wa maandamano ya tarehe 29 Oktoba...
64 Reactions
138 Replies
5K Views
Hali ya sasa imefika mahali ambapo moyo wa kawaida umeshindwa kubeba. Tumekuwa tukipambana, tukitafuta angalau mwanga mdogo ili tuendelee kuishi, lakini ukweli mchungu ni kwamba hatuoni huo mwanga...
3 Reactions
2 Replies
191 Views
Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe...
2 Reactions
5 Replies
334 Views
Mawakili wetu na wanaharakati hawajapoa. Wameenda Mahakama Kuu kupinga Tume iliyoteuliwa na Rais Samia kufanya Uchunguzi wa Matukio. Wananchi watatu wakiongozwa na dada Rose Mwakitwange na...
20 Reactions
44 Replies
2K Views
Nimeona polisi wakikamata watu kwa kosa la kuhamasisha maandamano. Nimeona Waziri wa Mapolisi wakikemea maandamano. Watu hawa waieleze dunia maandamano ni kosa kwa sheria ipi? Halafu acheni...
5 Reactions
7 Replies
258 Views
Huu hapa Msimamo wa waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini siku na baada ya uchaguzi mkuu.
17 Reactions
23 Replies
944 Views
Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza.. Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye...
30 Reactions
93 Replies
3K Views
Wakuu, Mnakumbuka kauli ya baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva waliohimiza vijana wafanye kazi badala ya kulalamika? Katika video ile walionekana wasanii Diamond, Jux na Ommy Dimpoz wakitoa ujumbe...
5 Reactions
6 Replies
450 Views
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa DC Mwijaku, ameshiriki kipande cha video akisindikiza na maneno haya katika sehemu ya maelezo: “Vile Umoja wa Ulaya utakapopigwa kwa vihele hele vyao. We are Africa...
1 Reactions
14 Replies
441 Views
Back
Top Bottom