Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Ninacho hisi watu wengi kutokujiandikisha kwenye Chaguzi za Serekali za Mitaa pamoja na kutumika hamasa nyingi Watu wengi walikuwa wanajiandikisha ili wapate Kadi ya kupiga kura iwe kama...
1 Reactions
1 Replies
223 Views
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli...
3 Reactions
7 Replies
667 Views
Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia Mchungaji Msigwa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai). --- Ustaarabu siyo tabia ya CCM Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Wakuu, Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba, Uongozi ni Kuongoza Njia, hii ina maana kwamba unapokuwa kiongozi unapaswa kuwaongoza waliokupa dhamana hiyo. Tofauti na Viongozi wengi...
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024. Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata...
0 Reactions
6 Replies
529 Views
Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Amesisitiza umuhimu...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja ===== "Mbali na kupoteza Dira na...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Huo ni ushauri kwenu CHADEMA tumieni Mbinu za kisayansi vinginevyo tutawasahau soon Mlale Unono 😀 --- Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea? Soma Pia: Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa...
3 Reactions
8 Replies
749 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, Mhe. Deogratius Ndejembi amejiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita...
0 Reactions
3 Replies
405 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwamba sana Kabisa, ameonekana kwenye kituo cha kujiandikisha huko kijijini Nshala kwenye Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro. Amejiandikisha kwenye Daftari la...
0 Reactions
3 Replies
544 Views
Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Nimejiandikisha kupiga kura nikiwa mtu wa kwanza kwenye mtaa wangu. Wewe Je?
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Back
Top Bottom