LGE2024 CHADEMA Nyasa: Watendaji wa Mitaa na Kata wanasimamia na kuandaa orodha ya wapiga kura kinyume na Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa kuandikisha au kuandaa orodha ya wapiga kura' Lakini mambo ni tofauti kwenye vituo."

Halafu kuna wapiga kelele husema ccm haishindi kwa figisu bali kwa kupendwa.
 
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa kuandikisha au kuandaa orodha ya wapiga kura' Lakini mambo ni tofauti kwenye vituo."

Tulizeni wenge. Mliulizwa mtashiriki uchaguzi kwa tume.ile.ile? Mkasema NDIO. Sasa tulieni muonyeshwe picha
 
Juzi nilienda kwa balozi nina mishe zangu nikashangaa nakuta ana misururu hiyo ina majina nikaona ng'weeeeh
 
Back
Top Bottom