Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka...
35 Reactions
163 Replies
9K Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya...
0 Reactions
5 Replies
188 Views
Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa. Daima...
0 Reactions
8 Replies
268 Views
Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
0 Reactions
0 Replies
126 Views
“Ni kweli kuna baadhi ya Nchi katika Jumuhiya ya EAC matokeo ya Urais yanapingwa mahakamani, lakini mimi kwa Tanzania sioni umuhimu wa kupinga matokeo ya Urais Mahakamani, na wala sioni aibu...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa...
26 Reactions
51 Replies
880 Views
  • Redirect
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa sakasaka lililotokea wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku zilizofuata, kuna watu walikuwa wanatembea na mabegi...
1 Reactions
Replies
Views
Kipande cha video ambacho kinaonesha wanaodhaniwa kuwa ni waumini wa kanisa katoliki wakiwa kwenye foleni ya kuchukua fedha. Soma Pia: Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la...
17 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu Mama yake na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba (Humphrey Polepole) ameomba arudishiwe mwanawe akiwa mzima na kama lolote baya litamkuta huko alipo basi atajua cha kufanya. Mama...
10 Reactions
34 Replies
908 Views
https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=eR2nc0nkKUx65ioe Huyu jamaa anaitwa Vusi ThembeKwayo. Ni m - South Africa. Recently, alikuja kutembelea Tanzania kwa shughuli zake. Hata huko nyuma, amekuwa...
1 Reactions
0 Replies
203 Views
Imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa “balozi” wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM atoweke. Tukio hili, kwa wengi, lilikuwa tone la mwisho kukata...
0 Reactions
3 Replies
377 Views
Mmoja wa watangazaji kutoka redio ya kenya (radio 47) amesema hapa Tanzania hadi watoto wammemktaa Rais Samia Suluhu Hassan. Je, unakubaliana na mtangazaji huyu au la?.
1 Reactions
5 Replies
278 Views
Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana...
4 Reactions
18 Replies
396 Views
Wanaukumbi. Tangu mwaka 1957, TEC imekuwa ikiishi kwenye kivuli cha nguvu na heshima. Machoni pa umma, ni taasisi ya kiroho inayohubiri maadili na utulivu wa taifa. Lakini ndani ya kuta zake...
14 Reactions
138 Replies
4K Views
Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa. Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa...
2 Reactions
17 Replies
508 Views
Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika. Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗔𝗨, 𝗔𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗡𝗢 𝗝𝗜𝗧𝗜𝗛𝗔𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜𝗔 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
0 Reactions
5 Replies
225 Views
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa...
2 Reactions
2 Replies
244 Views
Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu...
6 Reactions
28 Replies
952 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…