Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Heshima kwenu wakuu, Nimesikitika kusikia Mwenge umeanza kutumiwa katika kubomoa upinzani Tanzania, Je ndo malengo ya huu Mwenge? Sisi zamani tulikaririshwa wimbo wa Mwenge ukakaa vichwani mwetu...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
  • Redirect
Habari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi? Sent using Jamii...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa vielelezo vya ushahidi vya msokoto wa bangi katika kesi ya matumizi madawa ya kulevya inayomkabili muugizaji wa filamu nchini, anaandika Faki Sosi. Hakimu...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna taarifa humu mitandaoni kwamba gavana wa jimbo amesitisha/ zuia zoezi la kuvurumisha down njengwa ambazo watu wa surroundings walitoa amri na order zipigwe chini. Kwa upande mwingine watu wa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
MIONGONI MWA MAPENDEKEZO YA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KWA SHERIA MPYA. -Polisi nao wafanyika moja ya sehemu ya uendeshaji wa vyama vya siasa. Mabadiliko yanayopendekezwa. Miongoni mwayo...
1 Reactions
Replies
Views
Meya wa Jiji la Tanga, Mustafa Selebosi amewasimamisha madiwani watano wa Chama cha Wananchi (CUF), kuhudhuria vikao vitatu vya Baraza la Madiwani na posho ya siku nne, kwa kosa la kwenda kukojoa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Historia imetusogeza katika ukingo wa haki. Mahali ambapo tunapaswa kutoa haki kwa wenye haki, na kupokea haki tunayostahili. Ikiwa nguvu itahitajika ni sawa, maana historia itakuwa imetusogeza...
24 Reactions
95 Replies
10K Views
  • Redirect
Katika miaka ya 1980 ya chama kimoja licha ya changamoto zilizokuwepo, nchi hii ikiongozwa na CCM bado kulikuwa na walau asilimia fulani ya mshikamano wa watanzania. Mwl Nyerere katika eneo hili...
4 Reactions
Replies
Views
Baada ya serikali kuanza mkakati wa kulifufua shirika letu LA ndege kwa kununua NDEGE mpya,kuweka management mpya na pia kufungua root mpya za usafiri ndani ya nchi, nadhani juhudi hizi hazitozaa...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ktk mitandao ya kijamii kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John P.Magufuli aliyoitoa ktk kongamano la vijana wa CCM wa VYUO Vikuu Kigamboni Dsm. Kwa mtazamo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moshi. Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia amehoji uhalali wa Chadema kutaka kuwaadhibu madiwani wake sita waliompigia kura mgombea wa NCCR-Mageuzi. Mbatia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Vijana twende shule ujanja ujanja hatutafika. Digrii ya kuchovya inamdhalilisha mzee wa watu. Dar es Salaam. Mbunge wa zamani wa Ukonga na Segerea, Dk Makongoro Mahanga amekamatwa na Polisi Mkoa...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanabody. Nimatumaini yangu miongoni mwa watakao soma posti ni pamoja na wale kama hajawaguswa na bomoa bomoa basi wamewaona wahanga nakuhisi maumivu jinsi walivoathiriwa kisaikolojia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani wana JF huyu kijana Deus anajishughulisha na nini baada ya kushinda rufaa yake?
1 Reactions
51 Replies
7K Views
  • Redirect
Rais wa Tanzania ,mzalendo namba moja kawasha moto uko ccm , Na kusema kuna Mali za watu wa nje zimesajiriwa kama za ccm ili zisaidiwe kulipa kodi, kumbe si za ccm, Na kasema repot nzima anayo...
0 Reactions
Replies
Views
HAZIVUNJWI NYUMBA, LINAVUNJWA TAIFA, KUIDHARAU BIBLIA/MSAHAFU NI KUWADHARAU WAAMINIO Anayanena *Mahinyila Deogratias akitokea Berege.* Hakuna aliye juu ya sheria, Hakuna mwenye mamlaka juu ya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ulinzi umeimarishwa katika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) zilizoko Upanga, jijini Dar es Salaam huku ikielezwa kuwa Rais John Pombe Magufuli...
10 Reactions
183 Replies
22K Views
  • Redirect
Habari hii nimeiona kwenye ukurasa wa facebook wa Jamiiforums. Mungu ibariki Tanzania.
0 Reactions
Replies
Views
Madudu hayo yalibainishwa jana na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), wakati ikihoji Idara hiyo, kuhusu hoja za ukaguzi katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom