Yuko wapi Deus Malya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Deus Malya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LEYANA LESINDAMU, May 25, 2012.

 1. L

  LEYANA LESINDAMU Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wana JF huyu kijana Deus anajishughulisha na nini baada ya kushinda rufaa yake?
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kweli huyu dogo yuko wapi?
   
 3. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ukshajua itakusaidia nini?
   
 4. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  anataka kumpa kazi ya udereva pale magogogni. dereva wa JK anastaafu!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh .... Yule kijana wa kwenye ajali ya Chacha wangwe nimekumbuka..... Kama vile nilimuona kwenye masaburi yako juzi.
   
 6. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2017
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,552
  Likes Received: 1,605
  Trophy Points: 280
  baado anaendelea na kazi yake ya ujasusi!?
   
 7. comrade igwe

  comrade igwe JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2017
  Joined: Jan 12, 2015
  Messages: 6,205
  Likes Received: 3,154
  Trophy Points: 280
  Yupo Kibosho
   
 8. Mbepo yamba

  Mbepo yamba JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2017
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Siku hizi yuko Mombasa na amebadilisha na jina anaitwa Mussa Mallya. Mtafute fb utampata huko.
   
 9. carnte

  carnte JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2017
  Joined: Aug 8, 2017
  Messages: 365
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 80
  Jamaa alimtapeli rafiki yangu Mil 5 sitakuja kumsahau

  carnte himself
   
 10. Mbepo yamba

  Mbepo yamba JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2017
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Mimi pia alinitapeli kiasi fulani mwaka 2011. Akawa anapotezea simu zangu eti yuko nje ya nchi kumbe uwongo. Alikuwa anadai anakiwanda na ni mwenyekiti wa taasisi fulani hapa mjini. Huyu jamaa siji kumsahau aisee
   
 11. carnte

  carnte JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2017
  Joined: Aug 8, 2017
  Messages: 365
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 80
  Pole

  carnte himself
   
 12. Mbepo yamba

  Mbepo yamba JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2017
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Asante chief
   
 13. J

  Jmc06 JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2017
  Joined: May 11, 2016
  Messages: 764
  Likes Received: 1,058
  Trophy Points: 180
  Pole mkuu,huyu dogo ni ndugu yake na Membe,amesoma Libya kama miaka minne,anaongea kiarabu vibaya sana,nilimjua mwaka 2008 tuliishi jirani maeneo ya Mwenge TRA,alikuwa akinifundisha kiarabu.,siku moja tulichelewa street mpaka saa 7 usiku, nilikuwa nakunywa yeye anywi tukipiga story,tukapitiwa na defender la polisi,tukapelekwa kituoni-mabatini,ndo nilijua jamaa sio wa kawaida,2 of alichenjia askari watatu kwa kungfu pale kituoni,mpaka akapigiwa simu mkuu wa kituo saa nane akaja,akamhoji zaidi ya nusu saa,dogo akampiga mkwara mkuu wa kituo kuwa akiamua wote kituoni hawamuwezi kwa mikono au silaha,mwishoni akampa namba mkuu wa kituo aipige apewe maelekezo,mpaka leo sijui ilikuwa namba ya nani,tukaachiwa palepale,baada ya muda tukapoteana,ghafla nakuja kumuona kwenye gazeti kadondoka na Chacha wangwe,Chacha ni.marehemu,gari nyang'anyang'a,yeye mzima hana hata kovu,ana bandeji ya kuzuga mkononi,niliogopa sana,huyu dogo sio.mtu mzuri yupo trained deeply,mpaka leo naamini ana backup ya serikali.Sielewi kwanini alitapeli baadhi ya watu,ila sio mtu mzuri.Story ni ndefu nimeifupisha,pole mkuu.
   
 14. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2017
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,598
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  Siku hizi yuko wapi?,maana sijamsikia kitambo

  ploudly ngosha
   
 15. baba swalehe

  baba swalehe JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2017
  Joined: Jun 6, 2017
  Messages: 2,154
  Likes Received: 1,730
  Trophy Points: 280
  Hebu endelea kutupa story

  usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
   
 16. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,656
  Likes Received: 25,579
  Trophy Points: 280
  Masahihisho - hakushinda rufaa bali alipewa msamaha na Rais baada ya " kukamilisha kazi " fuatilia vizuri .
   
 17. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,656
  Likes Received: 25,579
  Trophy Points: 280
  Ha! Ha! Haaaa!
   
 18. CANIMITO

  CANIMITO JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2017
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 1,947
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  A well trained assasin na anayo back up ya 'NCHI'. Membe ndiye master-mind aliyekabidhiwa kuhakikisha nothing goes wrong,na LIBYA alienda na kuishi kwa kodi zetu kupitia akaunti ya Razaki Magehelo (kwa sasa ni mshauri wa masuala ya ulinzi katika taasisi binafsi but ni mtu wa kitengo).
   
 19. Monseur

  Monseur Member

  #19
  Aug 30, 2017
  Joined: Dec 5, 2016
  Messages: 90
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 25
  Mwaka uliopita alikuwa akiishi Heko Guest House DSM alikaa kwa miezi Sita na alikuwa akiishi kiujanjaujanja sana kwa kutapeli watu
   
 20. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2017
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,864
  Likes Received: 4,246
  Trophy Points: 280
  Watu mnajua mambo!
   
Loading...