Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Katibu Mkuu wa zamani, Yusuf Makamba amemkosoa kada wa CCM, Bernard Membe kwa kitendo chake cha kutoa masharti dhidi ya wito kwake kutoka kwa Katibu Mkuu, Dk. Bashiru Ally. Mzee Makamba...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Najua unajiaminisha kuwa wewe ni mjamaa. siuoni ujamaa hata midomoni mwako, unatamka ujamaa huku ukiishi kibepari? gari yako ni mfano mzuri. Bwana mukama alipendekeza chama kujivua gamba yilishia...
1 Reactions
Replies
Views
Niwakumbushe tena Watanzania wenzangu. Ni moyo mwema pekee waweza tenda mazur kwa binadamu mwenzake kwa nguvu zote. Ilikua kama Yesu kristo wakati akipelekwa kwenda kusurubiwa msalabani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa ndo watakaotaga yai la mgawanyiko CCM kama wasipokuwa makini na kauli zao za kwenye vyombo vya habari. Mwl Nyerere alisema anayetaka kubebwa kama mgonjwa au maiti aachwe abebwe tu kama...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwanza niweke angalizo, mimi ni kada,tena mtiifu. Tatizo langu nikiona mambo hayajakaa sawa nashindwa kunyamaza, ningependa Mzee wa Push Up amalizie miaka yake mitano baada ya 2020. Tatizo huyu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Magu, amewaweka ndani masaa 48 viongozi wa Bodi ya chama cha Ushirika Magu Teachers Saccoss baada kupata barua iliyoandikwa na Bodi, wakimuelezea nia ya kuifunga ofisi ya chama...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kadiri ninavyoyafuatilia mambo ya kisiasa, siasa ina mambo ya raha na karaha. Kama mambo mengi yako vyema ndani ya chama, viongozi na wanachama wa chama husika huwa na raha isiyo na kifani. Raha...
18 Reactions
17 Replies
2K Views
Wasalaam, leo ni tarehe 8/12/2018 tunaelekea kumaliza mwaka huku wengi tukiwa na taharuki kuhusu watu wanaoitwa wasiojulikana. Ni muhimu na vema serikali yetu sikivu ya wanyonge ikawatoa hofu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Wako kimya hata mchango hawatoi utadhani wao sio chama cha siasa, labda hawataki kuonekana wamehusika kuzitunga au wanadhani haziwahusu, si mkiti, katibu wala polepole aliyetoa mchango, basi kama...
5 Reactions
Replies
Views
Naibu Waziri Mwita Waitara amesema watanzania wanapaswa kulipa kodi kwani swala hilo lipo kwa mujibu wa sheria na si la kisiasa. Mwita amesema hayo alipokuwa ziarani wilayani Nzega ambako ameagiza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
rais wetu ni rais wa wanyonge kwa jinsi anavyojinasibu!!yaan anawajali kuliko mtu mwingine yeyote! lakn hili la wamachinga mbona ni tofauti?? TRA mwezi machi mwaka 2018 ilitoa vitambulisho hivyo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
VIKAO vya Kamati Kuu (CCM) na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), vinatarajia kukaa wiki ijayo, huku agizo laKatibu Mkuu wa chama hicho Dk. Bashiru Ally la kumtaka ofisini kwake...
0 Reactions
Replies
Views
Nimshukuru kwa kile alicho kifanya pindi alikwua madarakani ila sasa kwa ninavyomuona nina pendekeza ange staafu siasa hata vikao vya vyama vya siasa asingekuwa anahudhuria, abaki tu kama mshauri...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abass amesema kabla ya kujengwa kwa ukuta katika mgodi wa madini Mirerani serikali ilikuwa ikukusanya kati ya Tsh. Milioni 71 hadi 74, baada ya kujengwa ukuta...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwenye mitandao ya kijamii kurasa nyingi za kisiasa Zina mazungumzo ambayo hayana tija kwa taifa.embu wazia hili wapo watu ambao wao wanatamani serikali Yao ishindwe ili wapate nafasi ya kuandika...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher olesendeka ametangaza vita dhidi ya mwanasiasa yeyote atakayeingia katika mkoa wa Njombe na kumjaribu kumtikisa kwa kuhubiri ndoa ya jinsia moja (ushoga) kama...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Serikali kufikisha maji vijijini kwa 85%
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Wadau , Nimeshangazwa Sana na mkuu wa inchi kutolizungumzia suala la FAO LA KUJITOA hasa kwa wafanyakazi wa sector binafsi .. Hivi inaingia akilini Kweli ?? Mtu anayefanya taasisi private...
3 Reactions
Replies
Views
Siasa ni sanaa kama zilivyo sanaa zingine. Hivyo kunahitajika mbinu ili kupata ushindi katika kile unachokipigania. Katika ngazi ya Urais ukiacha matumizi ya mbinu wakati wa kinyang'anyiro cha...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom