Tunamaliza mwaka 2018 ni vema Serikali ya wanyonge ituambie ni nani watu wasiojulika

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,467
2,643
Wasalaam, leo ni tarehe 8/12/2018 tunaelekea kumaliza mwaka huku wengi tukiwa na taharuki kuhusu watu wanaoitwa wasiojulikana. Ni muhimu na vema serikali yetu sikivu ya wanyonge ikawatoa hofu watanzania juu ya Watu wasiojulikana waliofanya yafuatayo:

1.waliomtishia bastola Nape.
2.waliomchinja alfonsi Mawazo.
3.waliomteka na kumpoteza mwandishi Azoli.
4.waliopiga risasi Lissu
5.waloomteka na kumpoteza Bern Saanane
6.waliomteka MO Dewji
7.n.k

Je, inawezekana hawa watu wanaitwa wasiojulikana ni MIZIMU fulani haionekani wala kujulikana? Je, ni watanzania au watu wa mataifa?inawekana siku moja wakaja kumteka mfalme na kumpoteza kusipojulikana?
kp21112018.jpg
 
Si yule tajiri wa kule Tarime ndugu Peter Zakaria alishawataja na kuwaonyesha bila shaka yoyote ile
 
wakiweza kuyafuatilia hayo mungu aniondoe dunian sasa hiv kabla cjaliza kutype hii reply

Mbwa kala mbwa hyo over
 
Wasalaam, leo ni tarehe 8/12/2018 tunaelekea kumaliza mwaka huku wengi tukiwa na taharuki kuhusu watu wanaoitwa wasiojulikana. Ni muhimu na vema serikali yetu sikivu ya wanyonge ikawatoa hofu watanzania juu ya Watu wasiojulikana waliofanya yafuatayo:

1.waliomtishia bastola Nape.
2.waliomchinja alfonsi Mawazo.
3.waliomteka na kumpoteza mwandishi Azoli.
4.waliopiga risasi Lissu
5.waloomteka na kumpoteza Bern Saanane
6.waliomteka MO Dewji
7.n.k

Je, inawezekana hawa watu wanaitwa wasiojulikana ni MIZIMU fulani haionekani wala kujulikana? Je, ni watanzania au watu wa mataifa?inawekana siku moja wakaja kumteka mfalme na kumpoteza kusipojulikana?
View attachment 960089
Hivi yule dreva Taxi tulioambiwa ndie aliwahifadhi watekaji wa MO yuko wapi sasa hivi ?, ni mtanzania mwenzetu hivyo ni vema tukajua alipo
 
Wasalaam, leo ni tarehe 8/12/2018 tunaelekea kumaliza mwaka huku wengi tukiwa na taharuki kuhusu watu wanaoitwa wasiojulikana. Ni muhimu na vema serikali yetu sikivu ya wanyonge ikawatoa hofu watanzania juu ya Watu wasiojulikana waliofanya yafuatayo:

1.waliomtishia bastola Nape.
2.waliomchinja alfonsi Mawazo.
3.waliomteka na kumpoteza mwandishi Azoli.
4.waliopiga risasi Lissu
5.waloomteka na kumpoteza Bern Saanane
6.waliomteka MO Dewji
7.n.k

Je, inawezekana hawa watu wanaitwa wasiojulikana ni MIZIMU fulani haionekani wala kujulikana? Je, ni watanzania au watu wa mataifa?inawekana siku moja wakaja kumteka mfalme na kumpoteza kusipojulikana?
View attachment 960089
7. Waliomteka Dr Ulimboka
8. Waliomteka Roma
9.
 
Matukio ayo manne anausika Makonda, Jiwe mungu atakulaani
 
Back
Top Bottom