Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Ngoja niwaambieni ukwel hawa Abdul na samia na kikwete kwamba lazima watakwenda jela kwa matendo yao ya mauwaji hawa tupo nao sana kama pete na kidole.
4 Reactions
Replies
Views
NImeamua kumteua Baba Askofu Bagonza Kuwa mshauri wa Rais kitengo Cha KATAA MACHAWA na wanafiki katika TAIFA la Tanzania. Je wadau mnasemaje? Staki mnishawishi nimteue na shekhe mkuu awe mwosha...
3 Reactions
3 Replies
135 Views
  • Redirect
Kusema umeliponya taifa kwa kuwaomba Mabalozi msamaha ni kejeli kwetu, Kusema unalijenga taifa kwa kuanzisha wizara ya vijana ni drama za mchana kweupe maana tuliisha kuwa nayo ikaishia kuwasaidia...
3 Reactions
Replies
Views
Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎...
4 Reactions
2 Replies
210 Views
Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
3 Reactions
3 Replies
159 Views
1. Magufuli hakuwa mwongeaji mzuri. Mi huwa naweka tu mambo wazi wala sina wa kumwogopa. Magufuli hakuwa na good communication skills. Ila akili ya utendaji na misimamo alikuwa nayo. Bi Chamdele...
20 Reactions
35 Replies
2K Views
Moja ya alama ya mtu yoyote aliyesoma na kuelimika ni uongeaji wake. Hata mtu ambaye hajasoma shule sana ila ni msomaji wa vitabu, ni rahisi kumtambua. Kuanzia upangaji wake wa maneno, akiwa...
8 Reactions
21 Replies
445 Views
Mama Samia ameshinda tuzo ya Tyrant of the Year. Watanzania wengi walimpigia kura. Walihamasishana mitandaoni na wakafanya kampeni kuhakikisha anashinda. Lakini ukweli ni huu: sidhani kama...
58 Reactions
136 Replies
4K Views
Nimeshangaa sana mimi kama Mwalimu. Rais Samia pia alikiri changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa utulivu siku ya uchaguzi na muda mfupi baada yake, akisema: “Licha ya...
3 Reactions
3 Replies
265 Views
Kwa afya na umri wake, Museveni apaswa kubadili katiba ili amteue ima mkewe au mwanae ili lolote likitokea kama litakavyotokea, achie usukani na familia iwe salama. Kkkkk. Unaweza kuzuia kupinga...
2 Reactions
6 Replies
181 Views
Huyu hapa ni miongoni mwa Wanaojiita Mabilionea huku haifahamiki anachomiliki popote Tanzania, kwenye page yake kaweka haya mambo Sasa wanaokanusha kwanini wasianze na hawa vijana wajinga ili...
37 Reactions
142 Replies
7K Views
Je unaweza kumpa kiongozi heshima kama unajua hajashinda uchaguzi! Watu wanatumia neno mheshimiwa kwa wale wawakilishi halali wa wananchi sasa kama wewe umeiba kura na kila mtu anajua au wewe...
6 Reactions
5 Replies
142 Views
hahaha kakutana na wababe wenzake, sasa anapata wapi uhalali wa kumvamia muslim ayatola kwa kosa la kudili na waandamanaji? kaweka mpira kwapani. D.Trump labda amepuuzia ukweli kwamba walioiweka...
3 Reactions
26 Replies
653 Views
Habari ndio hio kwa kifupi. Wakati wao ukifika, watatia huruma sana. Akichomoka kipindi hiki yuko madarakani, anaweza kuja kukabidhiwa ICC na mrithi wake kwa mshangao wa wengi kutokana na...
17 Reactions
40 Replies
709 Views
GT Hili jambo linaudhi sana Kinachofanya Tundu.lissu akae mahabusu mpaka sasa ni kitu gani maaana hatusiki hata ratiba ya kesi yake. Tumeona huko Venezuela wafungwa wa kisiasa zaidi ya 400...
17 Reactions
37 Replies
766 Views
DKT. MWIGULU AKUTANA NA PROF. MKENDA NA TIMU YA WATAALAM YA WIZARA YA ELIMU Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu , Sayansi na...
1 Reactions
2 Replies
223 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama(NUU), inayoongozwa na Mwenyekiti wa kamati,Najma Murtaza Giga...
2 Reactions
4 Replies
297 Views
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema: RAIS APOKEE NYONGEZA YA KERO Mh. Rais Samia amewatubia Majaji na Mahakimu. Ametumia fursa hiyo kueleza...
15 Reactions
12 Replies
521 Views
Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na...
37 Reactions
115 Replies
8K Views
Moja ya mbinu ambazo kwa muda mrefu wanasiasa wamekuwa wakizitumia kufanikisha malengo yao ya kisiasa ni kutoa ahadi za kimkakati zinazolenga makundi maalumu ndani ya jamii. Siku chache baada ya...
0 Reactions
2 Replies
213 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…