Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Let's now be serious from jokes, at least for a moment. Bila shaka kila mmoja anafahamu kuwa kuna uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja mwezi novemba 2024. Baada ya hamasa kubwa kupitia vyombo...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha , Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
KUPIGA NA KUPIGIWA KURA NI HAKI YAKO KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI NI HAKI YA URAIA Tumeadhimisha kumkumbuka Mwl Julius Kambarage Nyerere. Ni vyema Sasa kupitia katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Wakuu, TAMISEMI wanatarajia kufanya mkutano saa tano hii Oktoba 15, 2024 kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
2 Reactions
6 Replies
477 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais. Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa...
21 Reactions
125 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu. Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi...
8 Reactions
13 Replies
814 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, ameibuka na majibu makali kufuatia madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kuhusu kasoro katika...
0 Reactions
3 Replies
422 Views
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali...
1 Reactions
3 Replies
544 Views
Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa...
1 Reactions
3 Replies
685 Views
Katika Jimbo la Hai, hali ya vituo vya kuandikisha wapiga kura ni ya kutatanisha, hasa kutokana na ukosefu wa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hali hii imezua maswali mengi kuhusu sababu za...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna figusi zinaendelea kila mahali tunapoelekea uchaguzi serikali za mitaa. Msikilize Shekhe Bashiri Abdalla Mwenyekiti wa Chadema Tarime mjini akielezea kinachoendelea. PIA SOMA - LGE2024 -...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema...
1 Reactions
6 Replies
797 Views
Kada wa CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni amewataka wananchi kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, licha ya changamoto za ukiukwaji wa...
0 Reactions
3 Replies
581 Views
Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye...
0 Reactions
4 Replies
561 Views
Back
Top Bottom