Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Wananchi kwa pamoja wakiongozwa na vijana wa Gen Z wanazidi kuchapisha mitandaoni mabango ya D9. Shindano hilo linazidi kukua na kuongeza chachu ya kufanyaka kwa maandamano ya pili siku hiyo...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano...
4 Reactions
5 Replies
328 Views
Vijana mmekuwa kama dekio mnatumika na watu bila kujijua. Kundi fulani lenye nguvu kiasi likianza leo kudai mgao wa maji safi nanyi vijana mnaingia kwenye madai ya maji safi, kesho likibadili gia...
4 Reactions
99 Replies
2K Views
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini...
37 Reactions
57 Replies
2K Views
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema; WARAKA WA TEC: Kuna Watu Wanaiharibia Serikali. Kuna “vita” imeanzishwa...
43 Reactions
81 Replies
2K Views
Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo! Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari...
11 Reactions
27 Replies
816 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka ili kuepusha nchi kuingia kwenye matatizo makubwa yanayoweza kuathiri amani...
8 Reactions
32 Replies
683 Views
Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
1 Reactions
1 Replies
151 Views
Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano: =================== Mzee Butiku nakuita mara tatu! Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮 👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere...
12 Reactions
105 Replies
3K Views
Kiira Motors Corporation has completed the Tanzanian segment of the MIU Grand Trans Africa Electric Expedition with its Kayoola electric coach. The vehicle covered 1,771 kilometres from Mutukula...
3 Reactions
2 Replies
313 Views
Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29...
30 Reactions
93 Replies
5K Views
"Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution. Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi...
1 Reactions
13 Replies
384 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi)...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari, ametoa wito kwa wakazi wa Dar kuripoti kwa vyombo vya dola makundi ya watu ambayo hayaeleweki vizuri ili hatua za haraka...
0 Reactions
31 Replies
793 Views
Hakuna kijana alielipwa ili aandamane, tunamtaka Waziri Mkuu aje na Uthibitisho wa kijana huyo kulipwa. Na wao si wana uwezo wa kuzuia malipo aina yoyote ? Kama wanajua mtu analipwa Billions...
12 Reactions
24 Replies
518 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, Mohamed Chande, amesema kuwa tume anayoiongoza imeundwa kwa mujibu wa sheria. Ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wahariri wa...
0 Reactions
5 Replies
275 Views
Serikali ya CCM inatakiwa ijue kusoma alama za nyakati vyema hatupo enzi za Nyerere, kama ni kuua raia ndiyo njia ya kuzima sauti za wananchi basi wateketeze taifa lote kwa petroli Washauri wa...
3 Reactions
2 Replies
239 Views
Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku...
5 Reactions
26 Replies
784 Views
Wakuu Ni muda kidogo sikuwasikia hawa jamaa wa CHAUMMA hadi nikawa najiuliza wameamua kula mafao baada ya kukifanya walichokifanya baada ya kuhamia huko, ila kumbe walikuwa likizo bhana. John...
0 Reactions
10 Replies
448 Views
Back
Top Bottom