Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati unajiuliza hii nchi watu wake wanataka nini, lakini baadae unapata majibu nchi hii watu wake wamekata tamaa kwa jinsi inavyoendeshwa, na kieleele changu nikajifanya nina uzalendo sana...
2 Reactions
12 Replies
633 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
GENEVA (17 Oktoba 2024) – Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameonyesha mshangao wake kufuatia maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Ummy ametekeleza...
0 Reactions
3 Replies
568 Views
Kwa sasa ndio nimeelewa kwanini cheo cha Mkuu Wilaya kinapigwa vita na akitakiwi kuwepo kabisa ni cheo cha kichawa kinachoingiza hasara tu ya kodi za wananchi. Siku ya jana Alhamisi tarehe 17...
3 Reactions
8 Replies
811 Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mhe. Salma Rashid Kikwete, ameshiriki katika zoezi la uandikishaji wa wakazi lililofanyika kijijini Ruvu, kitongoji cha Makasini, kata ya Mchinga, Jimbo la Mchinga...
1 Reactions
4 Replies
523 Views
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa...
4 Reactions
69 Replies
4K Views
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo. Yaani...
33 Reactions
118 Replies
5K Views
Katika shindano la "stories of change 2024" lililohusu maandiko yanayoelezea "Tanzania tuitakayo" nilisema ni vyema kuwe na utaribu wa kuhakiki wale wanaoandikishwa kupiga kura sio tunaandikisha...
2 Reactions
3 Replies
673 Views
Mimi: Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu. Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo. Hivi, tuko serious kweli?
0 Reactions
13 Replies
705 Views
Na Ahmed Abdulla: Zanzibar: Uongozi ni eneo ambalo limekuwa na muamko mkubwa huku suala la usawa wa kijinsia hasa katika nafasi mbali mbali za uongozi likisemwa mara nyingi ,licha ya mafaniko...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Wasalaam Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM...
1 Reactions
4 Replies
523 Views
Unapokwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hapaswi kutaja chama chako cha siasa na huu sio wakati wa kampeni. Ni makosa makubwa kwa vyama vya siasa kuwa wasimamizi kwenye zoezi la...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Tukizingatia mwezi wa kumi na Moja Kila mtanzania aliyetimiza vigezo vya kupiga kura anayo haki ya kupiga kura hapa Tanzania, swali langu ni je! Serikali imechukua mkakati Gani wa kukabiliana na...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amesema wameamua kulijengea uwezo Jeshi la Polisi ili waweze kutambua matakwa ya Sheria za uchaguzi na kuepusha kuyumbishwa na...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh...
1 Reactions
2 Replies
773 Views
Juma pili hii tar 20.10.2025, zoezi la kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria wa serikali za mitaa na vijiji Tanzania, litahitimishwa rasmi nchi nzima. Kama mzalendo na...
4 Reactions
63 Replies
1K Views
Hali ya kisiasa katika jimbo la Moshi mjini inazidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani huku mmoja wa makada wa chama hicho akidaiwa kuendesha siasa zake kwa kutumia jina la...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Back
Top Bottom