Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari ya mwaka mpya 2026🔥 wakuu Binafsi nimesikitika sana kuona jwtz wakiingia barabarani tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 2026 huku nilipo. Hii ni sawa na maumivu yanayotukumbusha yaliyotokea...
2 Reactions
4 Replies
185 Views
Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima. Anajitahidi kutupiga changa la macho akijifanya kulaani utekaji na maovu ya chama chake. Ukimchunguza, licha...
0 Reactions
10 Replies
313 Views
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara? Siasa siasani karibuni wanachadema...
3 Reactions
64 Replies
721 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata...
2 Reactions
2 Replies
136 Views
Mwaka uliopita, Watu walitekwa Waliteswa Walipotezwa Walinyanyaswa Waliuawa Walitishwa Walidhalilishwa Walichekwa Walikosa na kupoteza matumaini Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura Nchi...
6 Reactions
8 Replies
169 Views
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo. Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Nchi haijawahi kumchoka mtu hivi
4 Reactions
6 Replies
206 Views
Believe me kete ya Maridhiano itafanikiwa endapo Lissu na Chadema watakubali kuyashiriki. Samia na CCM wanaomba sana Lissu akubali kushiriki Maridhiano, hebu fikilia Samia afanye handshake na...
9 Reactions
22 Replies
520 Views
Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo...
6 Reactions
12 Replies
467 Views
Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania...
1 Reactions
0 Replies
113 Views
My people, Amani ya nchi ni kama hewa tulivu inayowezesha maisha kusonga mbele bila msukosuko. Bila amani, maendeleo husimama, hofu hutanda, na ndoto za wananchi hukauka kabla ya kuchanua. Ndiyo...
3 Reactions
6 Replies
202 Views
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Wakuu kama imeendelea kuwa ada hii imekaaje. Tutaishije TutAjilindaje Tushauriane kuepuka kutekwa
2 Reactions
10 Replies
182 Views
Ni saa 3 asubuhi kwenye mpaka wa Tunduma, Mkoa wa Songwe. Wakati malori yakiwa yameshikana bila kusonga, biashara nyingine inakua kwa kasi kubwa – soko haramu la kubadilisha fedha za kigeni. Eneo...
1 Reactions
1 Replies
212 Views
Kwakifupi jana Gwajima ndiyo amehutubia taifa ndiyomaana hata kwenye online platforms hotuba yake imeangaliwa na watu wengi zaidi kuliko ile ya mwenyekiti wa CCM. NB: Ni mwaka 2026 sasa, tunaanza...
3 Reactions
8 Replies
325 Views
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa...
5 Reactions
119 Replies
2K Views
Wote tunakubaliana MaCCM yote ni majizi. Lakini mijizi ifuatayo Nape Nnauye, Dotto Bitiko, Innocent Bashungwa, Selemani Jaffo, Hussein Bashe, January Makamba na Ummy Mwalimu. Sidhani kati yetu...
2 Reactions
1 Replies
160 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mstari Umechorwa Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29...
24 Reactions
44 Replies
984 Views
Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
213 Views
Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…