Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi.
Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu...
Salaam!
Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"...
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani...
Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea.
In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uzalendo.kila Mmoja kwa nafasi yake,muda wake,sababu yake na mahali pake amejaribu/wamejaribu kujipambanua kuwa wazalendo.
Kwa tafsiri ya haraka isiyo rasmi...
Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi.
Hata kama serikali itakana...
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu na njama za kupangwa za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu...
Mapema Novemba 19, 2025, mmoja wa wahadhiri wa dini ya Kiislamu (Sheikh) alitoa kauli kali akisema kwamba kuelekea maandamano ya Desemba, “watakaoandamana tutawakata vichwa.”
Hata hivyo, hapo...
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka.
Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga...
Mwanasheria mkuu wa serikali HARAMU alisema wazi watatafuta kesi ambazo zinaweza kumpata MANGE KIMAMBI KUTOKA MAREKANI.
Wameipata Kesi ya UCHUMI hii wanaamini inatosha sana kuwashawishi Marekani...
Alichokisema Padri Kitima kuhusu Tume iliyoundwa na Rais kuchunguza athari za maanadamano ya Oktoba 29
"Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na...
Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele...
Licha ya nchi yetu kuwa tegemezi na ombaomba, vitu vingi tunaagiza kutoka nje zikiwemo nchi za Ulaya na Marekani.
Sasa najiuliza, na hawa mabwana nao wakiamua kutunisha misulu kwa kupiga...
Huwa navutiwa sana na Kauli za Maamiri Wajeshi Wakuu (Marais) duniani hasa za Rais Paul Kagame wa Rwanda, Vladmir Putin wa Urusi, Yoweri Museveni wa Uganda, yule wa Korea ya Kaskazini na ya...
Naona mashekh wanaendelea kukiwasha kuwajibu TEC lakini bila hoja za maana. Hii vita sasa ni mbaya kunakoelekea!
===================
Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.