Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni.
Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla akizungumza hayo leo Oktoba 22, 2024 wakati wa hafla ya kupokea taarifa ya zoezi la uandikishaji wa daftari la mkazi la uchaguzi wa...
Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,
Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli...
Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Unajua sio kila jambo ni la kulalamika, serikali zote Duniani zinahitaji uungwaji mkono na kukubalika kwa wananchi wake mbele ya mataifa mengine. Sasa kwa sisi Tanzania...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeshangaa sana kuona Mkoa wa Rukwa zaidi ya 30% ya wananchi hawajajitokeza katika kujiandikisha katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wao...
Na Mwandishi wetu Dar.
Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam,Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya...
Na Thabit Madai,Zanzibar
UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi...
Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza...
https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J
Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji
Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia...
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma...
Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024...
Bahati Issa Suleimani, mwenye umri wa miaka 51 , mwenye watoto 6 alithubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ya katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika mwaka 1995, na...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema, umewekwa utaratibu maalumu wa kuzuia udanganyifu katika uchaguzi ikiwamo mpiga kura mmoja...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wakazi wa Kijiji cha Kikelelwa Kata ya Tarakea...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha.
Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa...
ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro...
Spika Dr Tulia amewataka Wananchi wasiishie kwenye kujiandikisha tu bali wajikite kuwapigia Kampeni viongozi wenye Viwango vya kuwavusha
Dr Tulia amewataka Wananchi wawe makini katika kuupima...
Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha.
Nimekutana na hii habari huko mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.