Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo...
0 Reactions
4 Replies
286 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei, kilichotokea usiku wa tarehe 19...
3 Reactions
10 Replies
652 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Cleyton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo ameweka wazi kuwa Kuanzia mwezi Februari mwaka huu, Wananchi Katika Jimbo hilo hawatanunua Sanda pindi inapotokea misiba...
2 Reactions
39 Replies
933 Views
Wakuu, Msikilizeni Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa anazungumza leo kuhusu suala zima la misaada. Mmenotice hajawaita mabeberu bali "wadau wa maendeleo?" Ila najiuliza kama Tanzania tunajiweza...
5 Reactions
23 Replies
864 Views
Ndugu Watanzania! Kama mtakumbuka, Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Siku ya Jumamosi tarehe 17 Januari 2026, Mhashamu Baba Askofu Mwamakula...
38 Reactions
70 Replies
2K Views
Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
2 Reactions
22 Replies
585 Views
  • Redirect
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema uzinduzi wa Ofisi ya Uwakilishi ya Benk ya CRDB Dubai ni kielelezo cha uhusiano mzuri wa...
1 Reactions
Replies
Views
Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM. Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii. Wewe mpuuzi ambae...
7 Reactions
5 Replies
216 Views
Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao...
1 Reactions
3 Replies
316 Views
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
6 Reactions
122 Replies
13K Views
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na serikali ya Finland imesaini hati ya makubaliano ya kikanda [MoU] chini ya Mradi wa Maendeleo ya Matumizi ya Ardhi na Minyororo ya...
0 Reactions
4 Replies
230 Views
Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na...
1 Reactions
17 Replies
482 Views
Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Kwema Kabisa! Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea. Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu. Lakini...
46 Reactions
151 Replies
5K Views
Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya. Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana...
1 Reactions
6 Replies
204 Views
Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama...
9 Reactions
28 Replies
664 Views
Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao. Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni...
3 Reactions
43 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…