Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule...
Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea...
Nikiwa kama 'political strategist' nimetafakari na kuchambua hali ya siasa za upinzani hususani CHADEMA kuelekea uchaguzi Mkuu na nimeona yafuatayo:
Kwanza ,nimeona kuwa upinzani wote watashiriki...
My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea...
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
TAARIFA KWA UMMA
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed...
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.
Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema...
Leo mama Samia na Rais wa JMT ametimiza miaka 4 tangu alipoapa kuiongoza Nchi ya 🇹🇿 19-03-2021 akiweka historia kama Rais wa kwanza Mwanamke.
Katikati ya mashaka yaliyokuwepo Sasa yamegeuka kuwa...
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kusikiliza na kutekeleza maoni ya wananchi kuhusu reforms za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
My Take
Mojawapo ya sekta ambazo Serikali ya Samia imetoa msukimo mkubwa ni Kilimo.Soma Pre GE2025 - Rais Samia atimiza ahadi, amwaga Magari 20 ya kuchimbia Visima bure kwa Wakulima wadogo
Hata...
Hellow!
Kanuni ya wizi Iko hivi, Ili uibe, lazima wa kuibiwa awepo, na kitu Cha kuibwa kiwepo pia(subject matter).
Ni kweli, mwizi akikosa Cha kuiba, anaweza kuvua shati lake, akaliacha pale...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
Wananchi wa Tanzania kutoka Mikoa yote ya Tanganyika wamelipuka kwa shangwe baada ya Tangazo halali la Mkurugenzi wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi, Mtukufu Kailima kutangaza kwamba Chadema...
Huyu tapeli ana rekodi mbaya kwenye utapeli wa ardhi na madawa ya kulevya. Nawasihi BASATA au Tume ya uchaguzi (NEC) msimruhusu kamwe ajihusishe na uchaguzi mkuu wa 2025.
--
TAMASHA la kuombea...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo.
Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya...
Hiki ni kituko!
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za...
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.