Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
My Take Kadiri Chadomo na kina GwajiBoy watazidi kuvuja mapovu ya chuki na wivu ndivyo SSH anazidi kujizolea matuzo kama yote. Ushauri kwao,kuliko kuhangaika na Samia ambae hamna uwezo wa...
1 Reactions
4 Replies
365 Views
Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)? Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona...
25 Reactions
98 Replies
4K Views
ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee amesema ataenda kumuangalia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu gerezani licha ya mambo yaliyojitokeza baina yake na chama...
4 Reactions
6 Replies
857 Views
Chadema itaungana na ACT wazalendo Magwajima nao wataenda ACT wazalendo Mchuano utakuwa mkali kuliko ule wa UKAWA 2015 Tukumbuke hatutakuwa na Hazina ya Mkapa wala maalim Seif zamu hii Mwenye...
2 Reactions
15 Replies
765 Views
Zaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt...
-1 Reactions
18 Replies
868 Views
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa. Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga...
1 Reactions
6 Replies
826 Views
Ilikuwa ni wakati wa utawala wa Hayati John P. Magufuli.. Kuna huyu mtu Crocodiletooth ameanzisha uzi kudai kuwa Askofu hakuwahi kuukosoa utawala wa Magufuli.... Aliukosoa sana kiasi cha Paul...
7 Reactions
7 Replies
648 Views
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1) Na adhabu zingine...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mvutano unaoendelea kati ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed na Katibu wake,Eva Degeleki umeanza kuzua taharuki miongoni mwa wanachama na wachambuzi wa siasa...
2 Reactions
6 Replies
707 Views
Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri. Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA...
5 Reactions
4 Replies
625 Views
Kwamba wingi wa watu wanaohudhuria mikutano ya "No Reforms, No Elections" unaonyesha ukosefu wa imani katika mchakato wa uchaguzi, na hivyo kufanya uchaguzi ujao kuwa kazi bure bila mageuzi ya...
2 Reactions
0 Replies
316 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya...
3 Reactions
5 Replies
627 Views
UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA. Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya...
0 Reactions
3 Replies
294 Views
Kama muonavyo wajumbe wanavyotetemekewa nyakati hizi na ma kada mbalimbali ambao wanahitaji kuja kugombea katika nafasi mbali mbali katika uchaguzi Mkuu unapokuja japo kuna swala la no reforms no...
1 Reactions
5 Replies
313 Views
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah. Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
25 Reactions
39 Replies
3K Views
CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na...
41 Reactions
86 Replies
7K Views
Back
Top Bottom